Jinsi yakumsahau mtu uliye mpenda

Jinsi yakumsahau mtu uliye mpenda

Understand hivi...
Bado unaugulia ndio maana una fikra hiyo.
Jipe time bas. Hakuna kingine.
 
Tumia deplomasia kumaliza huo mgogoro na mpenzi wako wa zamani mrudiane maisha yaende otherwise utakufa kabla ya umri wa kustaafu hujafika..
Haiwezekani
 
Mnajibebisha sana ndo mana mnasalitiwa!mwanamke inatakiwa hata mkiachana usijisumbue nae fanya ishu zingine za ujenzi wa taifa.dume umlilie dem unatuaibisha sana.potezea km ulivyopotezea kunyonya kwa mama
Kwa mama ulipotezea? Au uliachishwa kwa nguvu
 
Mnajibebisha sana ndo mana mnasalitiwa!mwanamke inatakiwa hata mkiachana usijisumbue nae fanya ishu zingine za ujenzi wa taifa.dume umlilie dem unatuaibisha sana.potezea km ulivyopotezea kunyonya kwa mama
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kam wew UA yakiwakuta UA mnaingia uvunguni mnaanza kulia kimya kimya

Mapenz ni kuoteana tu ,wakija kukuotea utaelewa nin anasema
 
Nilipigwa na mapenzi. Nilishindwa kupenda tena lakini niliangalia move moja inaitwa love come softly. Nika hamua kuwaambia wazee wanitafutie mke wa kuoa. Nika tafutiwa mke lakini siku mpendaga. Baada ya kukaa nae mwezi na wiki kadhaa nilimpenda sana mke wangu paka hii Leo nipo nae. Love come softly. Tafuta mke uoe kijana.
I am interested in your story. Ningependa kufaham zaid kuhusu mapito yako.
 
Simply huwezi kumsahau kwa sababu ni mtu mlie share nae mambo mengi. Unachoweza kusahau ni lile penzi, lile penzi ndio huisha kabisa na inafika kupindi utamuona wa kwaida maana lile penz limeisha.

Unachoweza kufanya ni kujifunza ku supress hizo memory, jitahid usimuwaze sana , and ondoa kila kitu kinacha kukumbusha mlipokuwa pamoja. In time hiyo hali itapotea kabisa
 
Kila kitu kipo ndani ya akili yako, ukitaka kiwe kinakuwa ukitaka kisiwe hakitakuwa vile vile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom