Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,680
Habari wakuu nilikuwa ninampenz ambaye tuliachana miezi 9 iliyo pita kiukweli nilikuwa nampenda sana. Aliufanya nione hii dunia yote niyangu japo kunawatu wanaitumia pia.
Niliweza kuiaga dunia hii ya mapenz baada ya kugundua anani cheat na anataka kunifanya ATM machine ila niliweza kui control akili yangu na kumuacha. Hapo baadae nilibahatika kupata mpenz mwingine kiukweli mpaka sasa penzi letu na huyu binti nilakibabe sana kulingana na kufikiria yule niliye kuwa nae vitu alivo nifanyia inanifanya nione na huyu niliye nae walewale tu.
Kuna moment ambazo huwa nikizifikilia kuhusu yule mpenz niliyekuwa nae napoteza matumain kabisaaaaa ya kuwa na mpenz permanent.
Yaan mpaka sasa natafuta njia ya kumsahau lakini nashindwa kabisaaa.