Jinsi ya ufungaji wa king'amuzi cha Azam.

Jinsi ya ufungaji wa king'amuzi cha Azam.

Majanki

Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
34
Reaction score
12
Ufungaji wa king'amuzi sio kaz,cha kuzingatia inatakiwa utege dish katika mazingira haya:Unatakiwa ulielekeze dish upande wa magharibi na katika upande wa juu chini ni vyema ukaseti kwa no.60 kwakuwa kuna namba maalumu zimepangiliwa.Ukaaji wa KU ni nyuz 0,signal za mwanzo zinakuwa 16% huwa azipandi na kushuka kama ilivyo zoeleka kwa Risiva(receiver) nyingine kwahiyo kinacho takiwa ni kucheza na upande wa magharibi(west) na usipokuwa makini unaweza kushinda kutwa nzima.
 
Back
Top Bottom