Hata Mimi hicho kidude cha opera news kinanikera kweli, hafu kina force usome kinguvu,Mm naipenda browser ya Opera mini ila ina ki ndugu chake kinaitwa Opera news basi chenyewe huwa kinaibuka kwa kubabatiza ukiwa unatumia simu basi ikitokea umegusa popote tu kinaanza kujidownload na baadae unakikuta na chenyewe kimejipa siti kwenye App list nikikikuta nakifukuza kwa Ku ki uninstall basi nikikaa Massa kadhaa hicho tena mpaka nimeamua kukiacha ila sasa hv nna mpango wa kuwatimua wote na Dada yake Nyau hawa.