Jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu

Jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu

Jaribu app hizi zinaweza kukusaidia kuondoa matangazo stopads,block-this au blokada.
 
hazipatikani play store ziseach google.
Download app manager kwenye playstore hii inakuruhusu kuziona hidden installed app ambazo Ndo adware kwa lugha nyepesi virus wa matangazo dhen angalia app yeyote ile ambayo ujawahi install futa then your problem will be solved
 
Habarini za jioni wapendwa wana JF nina shida kwenye simu yangu kila nikianza kuitumia kuna mda inastak halafu linakuja tangazo mara la TALA au BRANCH saa nyingine tangazo la magari hivyo naomba mwenye msaada jinsi yakuzuia matangazo hayo anisaidie tafadhali au kama kuna app yakuzuia mnisaidie..

Natanguliza shukurani wakuu

Ukimaliza nenda setting Afu kwenye security Zima allow installation from unknown sources coz hii Ndo main source za matangazo hayo na nyingine through kudownload kitu kwenye linki ambazo sio salama
 
Download app manager kwenye playstore hii inakuruhusu kuziona hidden installed app ambazo Ndo adware kwa lugha nyepesi virus wa matangazo dhen angalia app yeyote ile ambayo ujawahi install futa then your problem will be solved
Asante mkuu ngoja nifanye hivyo
 
Natumia sim aina ya Alcatel na hata kama simu iko scrin of nikitaka kuitumia tu nikiminya batani mpaka nikute tangazo halafu lina alama ya x nikiibonyeza linaondoka ndo nianze kutumia simu halafu kidogo linakuja tena yaani hakuna raha
ina virus hyo mkuu, iflash!!
 
Kutakuwa kuna apps ambazo umeinstall ambazo zina hayo matangazo,ukitaka yasitokee una uninstall hizo apps na hapo ndio mwisho wa mchezo...
 
Habarini za jioni wapendwa wana JF nina shida kwenye simu yangu kila nikianza kuitumia kuna mda inastak halafu linakuja tangazo mara la TALA au BRANCH saa nyingine tangazo la magari hivyo naomba mwenye msaada jinsi yakuzuia matangazo hayo anisaidie tafadhali au kama kuna app yakuzuia mnisaidie..

Natanguliza shukurani wakuu
Samahani mkuu kwakutochangia mada yako. Ila wewe ni Jaji Mruma?
 
Habarini za jioni wapendwa wana JF nina shida kwenye simu yangu kila nikianza kuitumia kuna mda inastak halafu linakuja tangazo mara la TALA au BRANCH saa nyingine tangazo la magari hivyo naomba mwenye msaada jinsi yakuzuia matangazo hayo anisaidie tafadhali au kama kuna app yakuzuia mnisaidie..

Natanguliza shukurani wakuu
Matangazo hayawezi kuja tu ,lazima kuna kitu ulifanya ,Fanya hivi jaribu kukumbuka ni lini matangazo yalianza kujitokeza na hiyo siku kitu gani ulifanya ,jaribu kuunistall free programs ulizo install hizo ndizo zinaleta matangazo
 
Back
Top Bottom