Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
That's why you are my better half. Chillax mi' amore, I can handle her eish
Esa mi mami. I'm just a General, making sure my Lieutenant General's straight. Whenever you need me, Ma'.
That's why you are my better half. Chillax mi' amore, I can handle her eish
Yaani kuna mianaume haiko romantic jamani hadi kero, yaani kuwa nao hataa genye hupati, wapo wapo tuu, serious na busy utafikiri wanaumba watu, yaani hawa kuwasaliti ni hasubuhi na mapema.
Esa mi mami. I'm just a General, making sure my Lieutenant General's straight. Whenever you need me, Ma'.
bro kuna thread nimesoma kwamba kuna group la whatsapp la Mwaume kama LIpo i want in! add 0658-221191.
Sio lazima avifanye vyote, sio lazima afanya kama mimi navyofanya. Coz Kila mtu ana definition yake ya kuwa romantic. Wengine umeona hapo wamekwambia mwanaume romantic ni yule anayetoa pesa period.
Usitake kuniambia kuwa hujawahi kukaa tu ukaamua umtumie a sweet text baby wako. Au unavyoenda jikoni kumsaidia kupika, au mnavyoenda coco kula zenu mihogo, au kumnunulia zawadi, mkaangalia wote movie etc. Ila Inawezekana pia ukawa huvifanyi vyote hivyo, u have your own definition ya kuwa romantic. Usikute nimejikuta tu nafanya hivyo Vitu vidogo vidogo (apart from kuwa treated hivyo) coz sina Vitu vikubwa vikubwa vya kum-offer partner wangu. But as long as ataappreciate, me kwangu full burudani
Dada yako yuko wapi?? We nakuelewa ni pesa tu,hayo maua sijui chocolate akawape nyuki!!
@heaven sent AND Paulo Sergio De Souz ....GET A ROOM!
Teh basi wenzako hadi kwenye real life tupo hivi hivi na hamna hata cha tamthilia, na wewe utakuwa tu romantic in your own way. If u don't mind, huwa unamspoil vipi baby wako?Mambo yenu ya tamthilia hayo. Wengi hapa watajidai romantic lakini kwenye real life hamna kitu.
True Romance is in the gestures. It's about paying attention to the little things that matter. Ni Vitu vidogo vidogo ambavyo mtu anaweza akaona vya kijinga au mapenzi ya tamthilia, but trust me vinaboresha sana suala zima la mahaba. Gelofriend Evelyn Salt nakutajia tu kidogo navyomfanyiaga beau yangu Paulo
1. Leaving him some cute little notes in his bag, au nikiwahi kuondoka kabla yake basi namuachia ki note mezani, maneno machache tu like " with you my reality is better than my dreams".
2. Surprise gifts, hata kama ni Pipi ya ivory tu. Au Nakula karanga afu nambakizia kidogo nampelekea au namchumia hata ua la Saa 4
3. We spend some times together, maybe jioni tunaenda zetu evening walks + holding hands or atakuwa kanizungushia mkono mabegani (baby wangu kanizidi urefuuuu) etc. Sio wewe ukifika home tu upo busy tena na kazi za ofisini Mmh jamani
4. Usisahau birthday/ anniversary ya mpenzi wako au yenu. Mmh ingawa wanaume wengi hapa wamegunaa, wengi Hawakumbukagi, but namshukuru Mungu my paulo ndo huwa wa kwanza always kuniwish a very happy birthday. Sio lazima kumnunulia lizawadi au kumfanyia birthday party, mnaweza mkatoka tu wenyewe wawili mkanywa zenu azam Malta basi mkarudi home
5 . Kama Mpo mbali maybe Unaweza ukashtuka usiku, afu unamuandikia ka romantic text, au unamtumia email. Ni raha jamani mweeee.
6 . Wenye magari yenu, kumfungulia gelofriend wako mlango wa gari,.. mwaah
7. Mnafungulia tu mziki mnacheza zenu weee, mnapika au kufua wote siku moja moja, mnaangalia pamoja movie mnayoipenda etc
All in all wanaume wengi wanaona kuprovide chakula, mavazi na malazi ndo basi wamemaliza Kila kitu, au kumuhonga tu mahela gelofriend wako, haitoshi. Afu kuwa romantic hakuhitaji hata hela sometimes. Siri kubwa ya kuwa romantic ni ... "treat each other as best friends". Kila kitu kitakuwa mwaaaaaah as unajua jinsi tunavyowatreat vizuri marafiki zetu
Njaa mbaya sana....
sasa kama mtu kazi zinabana kwa nini huyo binti asielewe tu...
inaonekana binti aliishapata mwingine tangu kitambo ila alikuwa anatafuta kisingizio tu cha kumwacha huyo lecturer... binti kama huyo mi wala simbembelezi ntachofanya ni kudai tu mahari yangu niliyotoa nayo wakizingua kunirudishia nawaachia tu natafuta mwingine... wasichana wamejaa kibao tena wenye uelewa wa mapenzi zaidi yake...
huyo mshkaji amshukuru tu Mungu kwa kumuepusha na ndoa yenye mogogoro.
Mahari amedai ila baba wa binti kampa kavu kwamba ametuharibia binti wetu na kama akichukua mahari na mtoto amsahau maana mtoto amezaliwa kabla ya ndoa ISLETS
Mambo yenu ya tamthilia hayo. Wengi hapa watajidai romantic lakini kwenye real life hamna kitu.
hivi pesa huwa zinatosha?hahahahahahah kweli mkuu RRONDO njaa mbaya,sasa jamaa ni lecturer mwanamke ni auditor T.R.A kuwa na shida ya hela tena si utakuwa na pepo! miss chagga Madame B Qurie
very correct labda nikazie Nyie wawili mkiwa na maendeleo no stress ndogondogo hata mapenzi yananoga
Hebu tutolee hapa na wewe , umekazana tamthilia tamthilia kaa huko na ugumu wako . kama huwezi kuwa romantic acha wengine wawe. Kumtoa out mpenzio ni tamthilia, kununua hata leso as suprise ni tamthilia ? Kumtumia sms mchana ya mahaba ni sinema? kushirikiana naye kufua au kupika ni sinema? umeambiwa little gestures zinazoapply kwenye maisha yako .
hivi pesa huwa zinatosha?
Hivi dada yangu unadhani unaweza kumuelewa mr mihogo RRONDO kweli?
Teh basi wenzako hadi kwenye real life tupo hivi hivi na hamna hata cha tamthilia, na wewe utakuwa tu romantic in your own way. If u don't mind, huwa unamspoil vipi baby wako?