Jinsi ya kuwa romantic

Jinsi ya kuwa romantic

True Romance is in the gestures. It's about paying attention to the little things that matter. Ni Vitu vidogo vidogo ambavyo mtu anaweza akaona vya kijinga au mapenzi ya tamthilia, but trust me vinaboresha sana suala zima la mahaba. Gelofriend Evelyn Salt nakutajia tu kidogo navyomfanyiaga beau yangu Paulo

1. Leaving him some cute little notes in his bag, au nikiwahi kuondoka kabla yake basi namuachia ki note mezani, maneno machache tu like " with you my reality is better than my dreams".

2. Surprise gifts, hata kama ni Pipi ya ivory tu. Au Nakula karanga afu nambakizia kidogo nampelekea au namchumia hata ua la Saa 4

3. We spend some times together, maybe jioni tunaenda zetu evening walks + holding hands or atakuwa kanizungushia mkono mabegani (baby wangu kanizidi urefuuuu) etc. Sio wewe ukifika home tu upo busy tena na kazi za ofisini Mmh jamani

4. Usisahau birthday/ anniversary ya mpenzi wako au yenu. Mmh ingawa wanaume wengi hapa wamegunaa, wengi Hawakumbukagi, but namshukuru Mungu my paulo ndo huwa wa kwanza always kuniwish a very happy birthday. Sio lazima kumnunulia lizawadi au kumfanyia birthday party, mnaweza mkatoka tu wenyewe wawili mkanywa zenu azam Malta basi mkarudi home

5 . Kama Mpo mbali maybe Unaweza ukashtuka usiku, afu unamuandikia ka romantic text, au unamtumia email. Ni raha jamani mweeee.

6 . Wenye magari yenu, kumfungulia gelofriend wako mlango wa gari,.. mwaah

7. Mnafungulia tu mziki mnacheza zenu weee, mnapika au kufua wote siku moja moja, mnaangalia pamoja movie mnayoipenda etc

All in all wanaume wengi wanaona kuprovide chakula, mavazi na malazi ndo basi wamemaliza Kila kitu, au kumuhonga tu mahela gelofriend wako, haitoshi. Afu kuwa romantic hakuhitaji hata hela sometimes. Siri kubwa ya kuwa romantic ni ... "treat each other as best friends". Kila kitu kitakuwa mwaaaaaah as unajua jinsi tunavyowatreat vizuri marafiki zetu

Daaaamn!!!Yaani wewe mdada umenimaliza kabisa maana mambo uliyoyaongelea hapa yamenikumbusha mengi sana.
All in all,you made my day..
Thank you.
 
Last edited by a moderator:
Yani hii nitaitumia bila pingamizi Heaven Sent licha tu ya kuelewa imemek sense sana kumbe nami nina viji element vya uromantiki pasi na kujijua.Thanks for letting me know

Ahsante sana "some little things count the most"
 
Last edited by a moderator:
Daaaamn!!!Yaani wewe mdada umenimaliza kabisa maana mambo uliyoyaongelea hapa yamenikumbusha mengi sana.
All in all,you made my day..
Thank you.

That's it kamanda nifah. Wanaume wanaconcentrate tu na mambo makubwa while kuna vimambo vidogo vidogo sana vinavyoweza kumpa mwenzio furaha.
 
Last edited by a moderator:
True Romance is in the gestures. It's about paying attention to the little things that matter. Ni Vitu vidogo vidogo ambavyo mtu anaweza akaona vya kijinga au mapenzi ya tamthilia, but trust me vinaboresha sana suala zima la mahaba. Gelofriend Evelyn Salt nakutajia tu kidogo navyomfanyiaga beau yangu Paulo

1. Leaving him some cute little notes in his bag, au nikiwahi kuondoka kabla yake basi namuachia ki note mezani, maneno machache tu like " with you my reality is better than my dreams".

2. Surprise gifts, hata kama ni Pipi ya ivory tu. Au Nakula karanga afu nambakizia kidogo nampelekea au namchumia hata ua la Saa 4

3. We spend some times together, maybe jioni tunaenda zetu evening walks + holding hands or atakuwa kanizungushia mkono mabegani (baby wangu kanizidi urefuuuu) etc. Sio wewe ukifika home tu upo busy tena na kazi za ofisini Mmh jamani

4. Usisahau birthday/ anniversary ya mpenzi wako au yenu. Mmh ingawa wanaume wengi hapa wamegunaa, wengi Hawakumbukagi, but namshukuru Mungu my paulo ndo huwa wa kwanza always kuniwish a very happy birthday. Sio lazima kumnunulia lizawadi au kumfanyia birthday party, mnaweza mkatoka tu wenyewe wawili mkanywa zenu azam Malta basi mkarudi home

5 . Kama Mpo mbali maybe Unaweza ukashtuka usiku, afu unamuandikia ka romantic text, au unamtumia email. Ni raha jamani mweeee.

6 . Wenye magari yenu, kumfungulia gelofriend wako mlango wa gari,.. mwaah

7. Mnafungulia tu mziki mnacheza zenu weee, mnapika au kufua wote siku moja moja, mnaangalia pamoja movie mnayoipenda etc

8. Hata mwenzio akiwa mgonjwa, hajisikii vema : mkumbushe "even in this mess - Im still mad with ur face"

9. Kuwa romantic ni kuwa appreciative: mara moja moja mwambie mwenzio : nashukuru nipo na wewe, nakushuru kwa watoto wazuri , nashukuru kwa effort unazofanya kwa familia etc. Appreciate akipendeza jamani mwambie mpenzi leo umependeza na muelekeze akikosea . Sio apendeze asipendeze wewe bubu na kipofu

10. Kuwa romantic ni kutake the first step kuact: Akiwa moodless muulize na ukiulizwa uwe ready kushare . Sio umenuna unaulizwa are u ok unasema yes kisha unaendelea kununa . Kuna watu wana gubu jamani saa zote wao manung'uniko tu.

11. Kuwa romantic ni kutafuta muda hata kidogo wa kupitia mambo yenu: kuwa na dinner zenu wawili tu , sio kutoka hadi muende harusini . Muda wa kuongelea nyinyi kama wapenzi tu si kuwa na watoto. Kuna watu ukiomba out utasikia "sina hela za mchezo" . Really unathaminisha mahusiano yenu mliyoyajenga kwa muda na nguvu nyingi.

All in all wanaume wengi wanaona kuprovide chakula, mavazi na malazi ndo basi wamemaliza Kila kitu, au kumuhonga tu mahela gelofriend wako, haitoshi. Afu kuwa romantic hakuhitaji hata hela sometimes. Siri kubwa ya kuwa romantic ni ... "treat each other as best friends". Kila kitu kitakuwa mwaaaaaah as unajua jinsi tunavyowatreat vizuri marafiki zetu

Nimeongezea hizo bolded :

Jamani maisha ni mafupi na yana stress nyingi tayari . Why not make the best out of your relationships? Kuwa romantic ni zaidi ya ngono, zaidi ya matumizi ya nyumbani - ukaribu na utayari wa kujali uwepo wa mwenzako tu.
 
Awwwwwww you nailed it Kinyau. Naamini our men watayachukua haya. Thanks ma
 
Last edited by a moderator:
Hahhaha boss kazi me Napiga kama kawa, sema sasa nimepata haka kaugonjwa, Kila nikimuwaza Paulo Sergio De Souz najikuta nasmile tu alonooo. Wateja nawachangamkiaje sasa

Wakati wao ndio wanaolalamika kuhusu utendajikazi wako!! Ndio maana nafikiria kukureplace ili upate muda wa mahaba vizuri.
 
Last edited by a moderator:
zegebovu1 pita kipande hii mdogo wangu, nawe Data given hebu njoo useme kuwa romantic ndio kukoje? Kaizer wewe upite tu kimya maana uromantic ushakushinda.
 
Last edited by a moderator:
Moi aussi Ch'erie. Huyu atoto hatutakii mema kabisa. Ukihisi anakunyanyasa, we sema tu, nakufungulia biashara yako mwenyewe.

Teh nifukuze tu bana, sio kwa mahaba nayoyapata. . Yani Nipo radhi hata nifanye kazi bila salary, ila paulo aendelee tu kuwa wangu

Hahahaaaaa! Penzi likiwa jipya unaweza kujihisi kichaa, ila kuna mengine ni mapya ila yakakosa uromantic yaani penzi lina mwezi utafikiri lina mika 100
 
That's it kamanda nifah. Wanaume wanaconcentrate tu na mambo makubwa while kuna vimambo vidogo vidogo sana vinavyoweza kumpa mwenzio furaha.

Namshukuru Mungu wangu ni romantic,yote uliyoyaandika utadhani umemuandika yeye ndio maana umenigusa sana.
How lucky I am?
Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! Penzi likiwa jipya unaweza kujihisi kichaa, ila kuna mengine ni mapya ila yakakosa uromantic yaani penzi lina mwezi utafikiri lina mika 100
Teh sie kwetu Kila siku ni valentine. Ila kuna mapenzi yanahitaji maombi, maana sio kwa mvurugano uliopo, Unawaza hawa watu kwenye ndoa sijui itakuwaje after 5-10 years mmh
 
Namshukuru Mungu wangu ni romantic,yote uliyoaandika utadhani umemuandika yeye ndio maana umenigusa sana.
How lucky I am?
Teh teh teh
Ooh sure, you are one lucky girl. I trust you, so Najua tu umeshikamana haswa

RRONDO here is the testimony, teh ila wewe itabidi tuongee kikubwa maana ukigoma kitu ndo Umegoma mazima teh
 
Last edited by a moderator:
haahaahaa! yaan we mdada umenifanya nijiskie vibaya xn coz nilikuwa najiona niko romantic lkn kwa sifa zako hzo naonekana kama ni miongon mwa wanaume tunaowatia hasira xn wapenzi wetu, sababu cna sifa hata moja kati za izo ulizozitaja
 
Back
Top Bottom