RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,289
- 138,802
Kisirani kweli.
coz i dont speak your language?!! £££$$$$?! amazing
Kisirani kweli.
coz i dont speak your language?!! £££$$$$?! amazing
Sasa kama hauko romantic tufanyeje? We toa hela tu ndio utakuwa uromantic wako basi.
Halafu hela wanazotoa zinarudi kununua gifts kwa watu ambao wanaonesha uromantiki.
Hahahah mpeleke hata coco, wote huo ni uromantic tu. Ila hata ukimpeleka Akemi yote kheri tu, as long as mnaspend muda pamoja na mnaenjoysasa nikikupeleka feri kula mihogo si ndio mnasema romantic?!! Au mpaka nikupeleke Akemi??!! Heaven Sent unasemaje?
Thanks darlinYou are the Real thing..
Hahaha. My bad Boss. Mi nilikuwa nazingua tu. Sina group lolote.