True Romance is in the gestures. It's about paying attention to the little things that matter. Ni Vitu vidogo vidogo ambavyo mtu anaweza akaona vya kijinga au mapenzi ya tamthilia, but trust me vinaboresha sana suala zima la mahaba. Gelofriend Evelyn Salt nakutajia tu kidogo navyomfanyiaga beau yangu PauloHahaha. Asante sana mpendwa kwa kutupa nafasi ya upendeleo kama hii. Sasa basi, kuwa ni romantic ni pamoja na kumpa Missus nafasi za upendeleo kama hizi. Haya Heaven Sent anza, mi nitamalizia mama.
True Romance is in the gestures. It's about paying attention to the little things that matter. Ni Vitu vidogo vidogo ambavyo mtu anaweza akaona vya kijinga au mapenzi ya tamthilia, but trust me vinaboresha sana suala zima la mahaba. Gelofriend Evelyn Salt nakutajia tu kidogo navyomfanyiaga beau yangu Paulo
1. Leaving him some cute little notes in his bag, au nikiwahi kuondoka kabla yake basi namuachia ki note mezani, maneno machache tu like " with you my reality is better than my dreams".
2. Surprise gifts, hata kama ni Pipi ya ivory tu. Au Nakula karanga afu nambakizia kidogo nampelekea au namchumia hata ua la Saa 4
3. We spend some times together, maybe jioni tunaenda zetu evening walks + holding hands or atakuwa kanizungushia mkono mabegani (baby wangu kanizidi urefuuuu) etc. Sio wewe ukifika home tu upo busy tena na kazi za ofisini Mmh jamani
4. Usisahau birthday/ anniversary ya mpenzi wako au yenu. Mmh ingawa wanaume wengi hapa wamegunaa, wengi Hawakumbukagi, but namshukuru Mungu my paulo ndo huwa wa kwanza always kuniwish a very happy birthday. Sio lazima kumnunulia lizawadi au kumfanyia birthday party, mnaweza mkatoka tu wenyewe wawili mkanywa zenu azam Malta basi mkarudi home
5 . Kama Mpo mbali maybe Unaweza ukashtuka usiku, afu unamuandikia ka romantic text, au unamtumia email. Ni raha jamani mweeee.
6 . Wenye magari yenu, kumfungulia gelofriend wako mlango wa gari,.. mwaah
7. Mnafungulia tu mziki mnacheza zenu weee, mnapika au kufua wote siku moja moja, mnaangalia pamoja movie mnayoipenda etc
All in all wanaume wengi wanaona kuprovide chakula, mavazi na malazi ndo basi wamemaliza Kila kitu, au kumuhonga tu mahela gelofriend wako, haitoshi. Afu kuwa romantic hakuhitaji hata hela sometimes. Siri kubwa ya kuwa romantic ni ... "treat each other as best friends". Kila kitu kitakuwa mwaaaaaah as unajua jinsi tunavyowatreat vizuri marafiki zetu
nimekuelewa sana heaven sent
soon na mimi nitakuwa romantic

ampe pesa tu basi
Pesa ndo mwisho wa reli.
Mwanaume akiwa rich atakua romantic tuuu no way out
Katika vyote hapo ni kipi ambacho kinahitaji tamthilia? kwangu mimi kama mimi ni Vitu vidogo vidogo sana but vya muhimu coz I'm someone who find joy in the littlest gesture of care. Havikucost chochote, but vikamfanya mwenzake ajisikie vizuri sana...... I guess my papa spoiled me so muchHizi tamthilia za kikorea sijui filipino zinawaharibu sana....
Hata mimi nimehisi hivyo!
Ingawa kuna watu bana ni 'workaholics' mbaya! Yani yeye kila wakati anawaza kazi tu..especially Lecturers sijui kwa nini!
Anyway, jinsi ya kuwa romantic ni kujali hisia za mwenzio na kumfanyia kila kile upendacho kufanyiwa.
Lingine, ni kuwa wewe (being you) tangu mnapoonana...hii itasaidia kuepuka kujiundia picha tofauti na uhalisia!!!
Hizi tamthilia za kikorea sijui filipino zinawaharibu sana....
Njaa mbaya sana....
Eeh hapo sawa, mapenzi yatanogajeee sasa
Hahahah boss leave my Paulo alonooo. Ni mahaba tu tehKumbe ndio maana siku hizi hata kazi hufanyi kwa ufanisi!! Tayari nishajua who to blame.
Katika vyote hapo ni kipi ambacho kinahitaji tamthilia? kwangu mimi kama mimi ni Vitu vidogo vidogo sana but vya muhimu coz I'm someone who find joy in the littlest gesture of care. Havikucost chochote, but vikamfanya mwenzake ajisikie vizuri sana...... I guess my papa spoiled me so much
Njaa mbaya sana....
Hapa hapakufai aisee, zile swaga zako hapa hazifit kabisaaaa.
Teh teh teh teeeeeh!! Mr mihogo bwana!
True Romance is in the gestures. It's about paying attention to the little things that matter. Ni Vitu vidogo vidogo ambavyo mtu anaweza akaona vya kijinga au mapenzi ya tamthilia, but trust me vinaboresha sana suala zima la mahaba. Gelofriend Evelyn Salt nakutajia tu kidogo navyomfanyiaga beau yangu Paulo
1. Leaving him some cute little notes in his bag, au nikiwahi kuondoka kabla yake basi namuachia ki note mezani, maneno machache tu like " with you my reality is better than my dreams".
2. Surprise gifts, hata kama ni Pipi ya ivory tu. Au Nakula karanga afu nambakizia kidogo nampelekea au namchumia hata ua la Saa 4
3. We spend some times together, maybe jioni tunaenda zetu evening walks + holding hands or atakuwa kanizungushia mkono mabegani (baby wangu kanizidi urefuuuu) etc. Sio wewe ukifika home tu upo busy tena na kazi za ofisini Mmh jamani
4. Usisahau birthday/ anniversary ya mpenzi wako au yenu. Mmh ingawa wanaume wengi hapa wamegunaa, wengi Hawakumbukagi, but namshukuru Mungu my paulo ndo huwa wa kwanza always kuniwish a very happy birthday. Sio lazima kumnunulia lizawadi au kumfanyia birthday party, mnaweza mkatoka tu wenyewe wawili mkanywa zenu azam Malta basi mkarudi home
5 . Kama Mpo mbali maybe Unaweza ukashtuka usiku, afu unamuandikia ka romantic text, au unamtumia email. Ni raha jamani mweeee.
6 . Wenye magari yenu, kumfungulia gelofriend wako mlango wa gari,.. mwaah
7. Mnafungulia tu mziki mnacheza zenu weee, mnapika au kufua wote siku moja moja, mnaangalia pamoja movie mnayoipenda etc
All in all wanaume wengi wanaona kuprovide chakula, mavazi na malazi ndo basi wamemaliza Kila kitu, au kumuhonga tu mahela gelofriend wako, haitoshi. Afu kuwa romantic hakuhitaji hata hela sometimes. Siri kubwa ya kuwa romantic ni ... "treat each other as best friends". Kila kitu kitakuwa mwaaaaaah as unajua jinsi tunavyowatreat vizuri marafiki zetu
Sio lazima avifanye vyote, sio lazima afanya kama mimi navyofanya. Coz Kila mtu ana definition yake ya kuwa romantic. Wengine umeona hapo wamekwambia mwanaume romantic ni yule anayetoa pesa period.Hebu uliza mwanaume wa kitanzania anayefanya hayo saba hapa ajitokeze.
Dada yako yuko wapi?? We nakuelewa ni pesa tu,hayo maua sijui chocolate akawape nyuki!!