Jinsi ya kuunganisha namba ya simu.

Jinsi ya kuunganisha namba ya simu.

JB MUNA

Senior Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
147
Reaction score
17
Wana jf wenzangu ninawezaje kuunganisha namba ya mtu mwingine na namba yangu ili anapopigiwa niweze kupata details zote kwamba namba ipi imempigia na ameongea nae kwa muda gani na je ametumiwa sms gani?Naombeni wenye utalaam huo wanisaidie maana mchumba wangu sio mwaminifu ili niweze kujua tabia zake na ikibidi niachane nae maana nikimuuliza anakataa kabisa so nikipata ushahidi ndo itakuwa poa.NTASHUKURU SANA.
 
Fanya "Calls divert" kutoka namba yake kuja kwako...ila settings hizo zinafanyika kwenye simu ya mchumba wako...kwa SMS sina uhakika kama inawezekana.
 
Yanin kufa na puresha bulaza kama haumuamini waachie wenzako wanaomuamin kwa style hiyo hutakuja kuoa kamwe labda ubadilishiwe moyo mwingine
 
Fanya "Calls divert" kutoka namba yake kuja kwako...ila settings hizo zinafanyika kwenye simu ya mchumba wako...kwa SMS sina uhakika kama inawezekana.

Kwa namna hii vile vile huyo mchumba hataweza kupokea simu yeyote, zote zitakuwa zinakuja kwako.
 
Unajua kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa kisheria, bila kujali ni nani kwako.?
 
we umiza kichwa uzeeke...huyo unaemuita mchumba si ajabu mtaa anaoishi yani kwao anajulikana kahaba.......acha kupaniki
 
Wivu kupita kiasi unaua!!!! Hata ukipata huo utaalamu utashangaa mwenyewe calls au sms zinakuja kwako wakati huyu mchumba wako yuko kapakwatwa na lijamaa pembe za chaki. Kalagabaho!!! Mchunge mbuzi siyo binadamu; kwani binadamu (mtu mzima) hujichunga mwenyewe!!!
 
Ama kua uwe na moyo mgumu au ni pm nikupe maujanja ya kuyashinda hayo usiyoyaweza.
 
Wana jf wenzangu ninawezaje kuunganisha namba ya mtu mwingine na namba yangu ili anapopigiwa niweze kupata details zote kwamba namba ipi imempigia na ameongea nae kwa muda gani na je ametumiwa sms gani?Naombeni wenye utalaam huo wanisaidie maana mchumba wangu sio mwaminifu ili niweze kujua tabia zake na ikibidi niachane nae maana nikimuuliza anakataa kabisa so nikipata ushahidi ndo itakuwa poa.NTASHUKURU SANA.

Kama umeshaanza kumhisi vibaya ina maana kuna mambo unamwona anafanya hauyaelewi, nakuhakikishia hauhitaji kuskia anachowasiliana kwenye simu yake...UTAWEHUKA BURE NA WIVU WAKO!! Kuna njia nyingi za kumchunguza lakni siyo hiyo ya simu, chukua hatua mapema!
 
piga chini malaya huyo! yanini kusumbuka kote huko.
 
kama una mashaka naye kwa namna yoyote ile sepa haraka. Achana naye. Hiyo ndio maana ya uchumba maana hata ukisikiliza simu zake au ukisoma sms zake haitakusaidia.
 
Kama umeshaanza kumhisi vibaya ina maana kuna mambo unamwona anafanya hauyaelewi, nakuhakikishia hauhitaji kuskia anachowasiliana kwenye simu yake...UTAWEHUKA BURE NA WIVU WAKO!! Kuna njia nyingi za kumchunguza lakni siyo hiyo ya simu, chukua hatua mapema!

Ushauri mzuri. Ila ungemwaga maufundi il at his own risk afanye. Kwa sababu najua unaweza kuwa unafahamu hata software inayo weza kufanya hivyo
 
Mbali na namba ya simu mm nitakupa maujanja ujue kama papuchi imepigwa na wajanja au la ili uzidi kuumia au ufe kabisa na presha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
'kwani yeye anatumia simu ya aina gani nikupe jinsi ya kurekodi simu zake na sms zote zinazoingia kwake nijulishe nikujulishe bulaza...'
 
Hata akiweka divert hawezi sikia mazungumzo yao,we kama una lakisita sema tukuunganishe kwamuda-miezi 2.hapo yangu nilaki tu,tano zote nizayule mdada mtaalam ktk kampuni ya.....
 
Kama unasimu yenye videocall-3gp,mfano n95,unaweza kudownload apps fulani kutoka brothersoft,utaweza kurekodi mazungumzo yao yote kwasiri bila yeyekujua.
 
Back
Top Bottom