Jinsi ya kuunganisha namba ya simu.

Jinsi ya kuunganisha namba ya simu.

Kama unasimu yenye videocall-3gp,mfano n95,unaweza kudownload apps fulani kutoka brothersoft,utaweza kurekodi mazungumzo yao yote kwasiri bila yeyekujua.

Ni ngumu kuzipata application kama hizo maana zimekaa kiintelejinsia hivyo zinauzwa ghali. Hizi simple ni za kurekodi mazungumzo yake kwenye simu yake binafsi jambo ambalo ni rahisi kushughulikia.
 
wivu gani huo, huyo hawara yanaishi kwao na wewe unaishi kwenu, acha watu wamalize...
 
Kizuri lazima ukigharamie,simu zote zenyeuwezo huo zinaanzia laki nne kuendelea!nalazima ununue umpe atumie yeye ndo litafanikiwa zoezi lako.
 
Ni ngumu kuzipata application kama hizo maana zimekaa kiintelejinsia hivyo zinauzwa ghali. Hizi simple ni za kurekodi mazungumzo yake kwenye simu yake binafsi jambo ambalo ni rahisi kushughulikia.

Si ngumu kuzipata na haziuzwi ghali Mkuu! Ukishainstall inkupa full access, tena remotely ukiingia ujumbe simu yako inakujulisha, ikianza kuita simu simu yako inakujulisha pia na inakupa option ya ku-listen live au ku-ignore, pia unakuwa na username unalogin kwenye server unaweza kuaccess info zote, iwe simu za sauti alizopokea na kupiga, au ujumbe aliopokea na kutuma. Haishauri kumfanyia hivi demu wako tu, labda kama ni MKEO...TENA UWE KWENYE HARAKATI ZA KUMDIVORCE NDIYO UNAKUSANYA USHAHIDI!
 
Asanteni kwa mawazo mazuri nayaheshimu sana ila kuna wana jf ntawa PM ili wanisaidie namna ya kuunganisha hizo application,nawashukuru nyote kwa ushauri wenu!
 
Acha upimbi wewe.

Hata ukimuoa bado ana haki ya kutokukwambia baadhi ya mambo (right to privacy)

Usiwe mwanaume mtafuta visa.

Kama haeleweki muonye;akiendelea muache...otherwise utaitwa 'boya'

*samahani kwa negative comments
 
Wivu kupita kiasi unaua!!!! Hata ukipata huo utaalamu utashangaa mwenyewe calls au sms zinakuja kwako wakati huyu mchumba wako yuko kapakwatwa na lijamaa pembe za chaki. Kalagabaho!!! Mchunge mbuzi siyo binadamu; kwani binadamu (mtu mzima) hujichunga mwenyewe!!!

Well said Mama Mdogo...............Shikamoo sana!!!!
 
Naona Jukwaa la Tech ghafla limegeuzwa kuwa MMU....
Waungwana toeni ujuzi wenu wa Kiufundi sio Kisaikolojia na Mahusiano
Try to forget hiyo part ya mchumba na tujadili namna ya kudivert calls na SMS's
 
we umiza kichwa uzeeke...huyo unaemuita mchumba si ajabu mtaa anaoishi yani kwao anajulikana kahaba.......acha kupaniki

Kweli mkuu majirani zako waweza kujua maovu anayofanya mwenzi wako lakini wewe hata kusikia harufu ni kazi na wote hao mko nao kila siku
 
Wana jf wenzangu ninawezaje kuunganisha namba ya mtu mwingine na namba yangu ili anapopigiwa niweze kupata details zote kwamba namba ipi imempigia na ameongea nae kwa muda gani na je ametumiwa sms gani?Naombeni wenye utalaam huo wanisaidie maana mchumba wangu sio mwaminifu ili niweze kujua tabia zake na ikibidi niachane nae maana nikimuuliza anakataa kabisa so nikipata ushahidi ndo itakuwa poa.NTASHUKURU SANA.
Kitimoto huwa kinajikaanga kwa mafuta yake chenyewe
 
Wivu kupita kiasi unaua!!!! Hata ukipata huo utaalamu utashangaa mwenyewe calls au sms zinakuja kwako wakati huyu mchumba wako yuko kapakwatwa na lijamaa pembe za chaki. Kalagabaho!!! Mchunge mbuzi siyo binadamu; kwani binadamu (mtu mzima) hujichunga mwenyewe!!!

Jibu analo kwamba mchumba wake sio mwaminifu sijui anahangaika nini, alafu mtu mpaka amekuwa mchumba wako maana yake kuna process za awali zimeshafanyika hivyo anastahili kuwa mke unless kama definition ya mchumba siijui
 
pole ndugu yangu mara nyingi binadamu huwezi kumchunga anayechungwa ni mnyama tu hivyo basi usiangaike na mwanadamu utakufa kihoro bure shauriro
Wana jf wenzangu ninawezaje kuunganisha namba ya mtu mwingine na namba yangu ili anapopigiwa niweze kupata details zote kwamba namba ipi imempigia na ameongea nae kwa muda gani na je ametumiwa sms gani?Naombeni wenye utalaam huo wanisaidie maana mchumba wangu sio mwaminifu ili niweze kujua tabia zake na ikibidi niachane nae maana nikimuuliza anakataa kabisa so nikipata ushahidi ndo itakuwa poa.NTASHUKURU SANA.
 
safi kwa wachahche hili ni jukwaa la tech sio kulee mmu jamaa kauliza swali kama unajibu dondosha sio mnachonga ngenga nyingiii kama waimba taarabu bana .big up Alex Muta never giv up nduki. pamoja sana wakuu. mkuu ukitaka hiyo huduma hapa jamvini walishaizungumzia sana tena kwa mapana ww tulia na uifukunyue tuu kwenye nyuzi zilizo pitz utzipztz tuu.ila zipo nyingine za kulipia
 
Last edited by a moderator:
Si ngumu kuzipata na haziuzwi ghali Mkuu! Ukishainstall inkupa full access, tena remotely ukiingia ujumbe simu yako inakujulisha, ikianza kuita simu simu yako inakujulisha pia na inakupa option ya ku-listen live au ku-ignore, pia unakuwa na username unalogin kwenye server unaweza kuaccess info zote, iwe simu za sauti alizopokea na kupiga, au ujumbe aliopokea na kutuma. Haishauri kumfanyia hivi demu wako tu, labda kama ni MKEO...TENA UWE KWENYE HARAKATI ZA KUMDIVORCE NDIYO UNAKUSANYA USHAHIDI!
Inaitwaje hio app mkuu na unaweza ipataje
 
Wana jf wenzangu ninawezaje kuunganisha namba ya mtu mwingine na namba yangu ili anapopigiwa niweze kupata details zote kwamba namba ipi imempigia na ameongea nae kwa muda gani na je ametumiwa sms gani?Naombeni wenye utalaam huo wanisaidie maana mchumba wangu sio mwaminifu ili niweze kujua tabia zake na ikibidi niachane nae maana nikimuuliza anakataa kabisa so nikipata ushahidi ndo itakuwa poa.NTASHUKURU SANA.
Unachukua simu ya mhusika unadownload kutoka Google app inaitwa,mobile tracker, unasajili vitu utakavyoonyeshwa alafu utaweka e-mail yako na password. Baada ya hapo umemaliza.Utachukua PC au simu yako una login(unaandika mobile tracker free login in unaandika email na password unaanza kuona kila kitu.Ni app ya bure,si ya playstore
Screenshot_20181018-222415.jpeg
 
Back
Top Bottom