Jinsi ya kutongoza Mwanaume

Jinsi ya kutongoza Mwanaume

Ukimtongoza mwanaume hawezi kukuheshimu Hata kidogo they are wired kutongoza..msijarib kutongoza wadada ni fedheha ni kama kumchangia mwanaume mahali yako mwenyewe
 
Wenye kuchukua namba chukueni namba ila angalizo........
 
weee wacha maneno yako... kwa namna hiyo utampata nani... we badala unionyeshe paja alafu uniweke mazingira mazuri nile mzigo ndo ulete hizi habari....

Simple risk taking... unakuwa tu kama muuza karanga, unaonjesha huwezi jua mtu anaweza kununua kapu zima
 
Mchicha mwiba huu unacheza na akili za watu sasa we jifanye una ugwadu mtafutane na huyo mtu Utakuja kusimulia hapa..
 
1:ASIWE KWENYE UHUSIANO
Jambo lingine la kuzingatia kwa
mwanaume huyo wakati wa harakati
za kumweka mikononi mwako ni
kuhakikisha hayupo kwenye
uhusiano na mtu mwingine. Kuna
baadhi ya wanawake wapo tayari
kuwa na mwanaume hata kama yupo
na mpenzi mwingine; hilo ni kosa na
naweza kusema ni umasikini wa
kufikiri.
Kama kweli umempenda, itakuwa na
maana kama utaweka makazi ya
moyo wako kwake milele na siyo kwa
muda mfupi tu.
2:JISOGEZE ZAIDI
Tayari umeshakuwa na uhakika kuwa
hana mtu, sasa unatakiwa kujisogeza
karibu yake. Jizoeshe kumsalimia
mara kwa mara na kumsifia kuwa
amependeza.
Kamwe usioneshe dalili kwamba
wewe ni ‘maharage ya Mbeya’, ishia
kwenye kujisogeza karibu yake kwa
kumsifia na kufanya mambo mengine
yanayofanana na hayo na siyo zaidi ya
hapo.
3:JENGA URAFIKI
Ukaribu wenu sasa unaweza
kuwafanya marafiki wa karibu. Kama
uko naye ofisi moja au mnaishi mtaa/
nyumba moja ni rahisi zaidi. Kuwa
rafiki yake wa kweli mwenye
kujadiliana naye mambo ya msingi.
Katika urafiki wenu, kamwe usiwe
mzungumzaji sana (hasa wa mambo
yasiyofaa), aidha usipende kukaa
naye katika mazingira yenye vificho
ambayo yataweza kusababisha
kuingia kwenye mtego mbaya.
4:ZUNGUMZIA ZAIDI MAISHA
Kuzungumzia zaidi maisha na
kumshauri juu ya mambo muhimu ya
maisha, kutamfanya akuone wewe ni
mwanamke makini mwenye malengo
mazuri katika maisha yako. Wanaume
wanapenda sana wanawake ambao
vichwa vyao vinafanya kazi sawasawa.
Hii inaweza kuwa sababu
itakayomfanya atamani kuwa karibu
yako zaidi, jambo ambalo ndiyo
shabaha ya moyo wako.
5:HAKUNA YEYE BILA WEWE
Kwa sababu tayari ni marafiki na
mnashirikiana baadhi ya mambo,
tengeneza mazingira ya kuwa naye
karibu zaidi. Mshirikishe kwenye
mambo yako, mfanye ajione si
mkamilifu bila kuwa na wewe karibu.
Hili litawezekana kwa kuishika siku
yake, kumtakia siku njema na
kumjulia hali yake kazini na
maendeleo yake kwa ujumla. Kwa
kuwa ni marafiki, kwa ndani lazima
hisia za mapenzi zitaibuka juu yako
na utamuweka kwenye nafasi ya
kufikiri kuanzisha uhusiano na wewe.
6:NI WAKO TU!
Ukipitia hatua zote, bila shaka
mwanaume huyo ni wako tu. Ikiwa
pamoja na vyote hivyo bado
haonyeshi dalili au hajafunguka kuwa
unamhitaji, basi mwache, siyo riziki
yako. Kwa nini ung’ang’anie
usipopendwa?

TUONANE APRIL.
47PRO, UoN
+254732860896.
Atua zote izo,akinitega tu inatosha
 
Mchicha mwiba huu unacheza na akili za watu sasa we jifanye una ugwadu mtafutane na huyo mtu Utakuja kusimulia hapa..
Labda aje kwa njia ya data.. Hahaha... I can handle this Internet gambling.

Ila asanti, members,for my research, na sasa I have something to write.
 
you are so clever
The last sentence "TUONANE APRIL"

my research survey is over, thanks for those who have been struggling to get thru..... By attractions of avatar.


.... Real name Christopher.
GENDER male.

MA. University of Nairobi.
 
Wanawake wanapata taabu kwel yaani kuhangaika kote je kumwambia nakupenda direct Kwan itabadilisha maana?

Wana allergy ya asili hivyo, wakiongea wanaweza kutoka upele ama kuwashwa mwili mzima....

Huu Uzi naona kama waliandikiwa wadada wa kipindi kile cha kusubiriana chini ya muembe maana maujuzi yamekaa kilokole sana kwa maana madada wa siku hizi wanafikiria kukutamanisha kingono zaidi NA hawajui kuwa "UKINITAMANISHA KINGONO, UTANIPATA ILI TUNGONOKE NA BIASHARA IMEISHIA HAPO"....
 
1:ASIWE KWENYE UHUSIANO
Jambo lingine la kuzingatia kwa
mwanaume huyo wakati wa harakati
za kumweka mikononi mwako ni
kuhakikisha hayupo kwenye
uhusiano na mtu mwingine. Kuna
baadhi ya wanawake wapo tayari
kuwa na mwanaume hata kama yupo
na mpenzi mwingine; hilo ni kosa na
naweza kusema ni umasikini wa
kufikiri.
Kama kweli umempenda, itakuwa na
maana kama utaweka makazi ya
moyo wako kwake milele na siyo kwa
muda mfupi tu.
2:JISOGEZE ZAIDI
Tayari umeshakuwa na uhakika kuwa
hana mtu, sasa unatakiwa kujisogeza
karibu yake. Jizoeshe kumsalimia
mara kwa mara na kumsifia kuwa
amependeza.
Kamwe usioneshe dalili kwamba
wewe ni ‘maharage ya Mbeya’, ishia
kwenye kujisogeza karibu yake kwa
kumsifia na kufanya mambo mengine
yanayofanana na hayo na siyo zaidi ya
hapo.
3:JENGA URAFIKI
Ukaribu wenu sasa unaweza
kuwafanya marafiki wa karibu. Kama
uko naye ofisi moja au mnaishi mtaa/
nyumba moja ni rahisi zaidi. Kuwa
rafiki yake wa kweli mwenye
kujadiliana naye mambo ya msingi.
Katika urafiki wenu, kamwe usiwe
mzungumzaji sana (hasa wa mambo
yasiyofaa), aidha usipende kukaa
naye katika mazingira yenye vificho
ambayo yataweza kusababisha
kuingia kwenye mtego mbaya.
4:ZUNGUMZIA ZAIDI MAISHA
Kuzungumzia zaidi maisha na
kumshauri juu ya mambo muhimu ya
maisha, kutamfanya akuone wewe ni
mwanamke makini mwenye malengo
mazuri katika maisha yako. Wanaume
wanapenda sana wanawake ambao
vichwa vyao vinafanya kazi sawasawa.
Hii inaweza kuwa sababu
itakayomfanya atamani kuwa karibu
yako zaidi, jambo ambalo ndiyo
shabaha ya moyo wako.
5:HAKUNA YEYE BILA WEWE
Kwa sababu tayari ni marafiki na
mnashirikiana baadhi ya mambo,
tengeneza mazingira ya kuwa naye
karibu zaidi. Mshirikishe kwenye
mambo yako, mfanye ajione si
mkamilifu bila kuwa na wewe karibu.
Hili litawezekana kwa kuishika siku
yake, kumtakia siku njema na
kumjulia hali yake kazini na
maendeleo yake kwa ujumla. Kwa
kuwa ni marafiki, kwa ndani lazima
hisia za mapenzi zitaibuka juu yako
na utamuweka kwenye nafasi ya
kufikiri kuanzisha uhusiano na wewe.
6:NI WAKO TU!
Ukipitia hatua zote, bila shaka
mwanaume huyo ni wako tu. Ikiwa
pamoja na vyote hivyo bado
haonyeshi dalili au hajafunguka kuwa
unamhitaji, basi mwache, siyo riziki
yako. Kwa nini ung’ang’anie
usipopendwa?

TUONANE APRIL.
47PRO, UoN
+254732860896.

Naomba nikufate inbox WhatsApp.
Hii mada mbona mwendelezo ya Ile ya Jana? kuwa wanaume sijui vp.
 
The last sentence "TUONANE APRIL"

my research survey is over, thanks for those who have been struggling to get thru..... By attractions of avatar.


.... Real name Christopher.
GENDER male.

MA. University of Nairobi.
nakumbuka posti yako ya kwanza uliomba ushauri ulienda kupima ngwengwe profile pic yako umevaa miwani kama fundi welding
 
nakumbuka posti yako ya kwanza uliomba ushauri ulienda kupima ngwengwe profile pic yako umevaa miwani kama fundi welding
Thanks for keeping that under the skin.
Hiyo huitwa mabesthe damu. & Dat image was real me fundi welding... Hahaha.. Adds funny burst into tears Hahaha....
How are you doing anyway....?
 
Urasimu mwingi mno...
Namba zako tena zA nini .?
 
Back
Top Bottom