hahahaha
Hakuna cha sereka hata wangu mwenyewe anaweza kuhamishwa tu, sasa kwanini namie nisihamishe wa mtummmhhh!!!,wewe noma,lkn uwe umejipanga kisawasawa maana hiyo ni bonge la sereka.
Easy tu akihamishwa namie nahamisha mwinginesubiri siku na wewe wakuhamishie wa kwako. kila mtenda hutendwa.
Nipo hapa ilumbu lyane sina hata uhusianoHuyo huyo mwenye uhusiano natongoza nahamishia kwangu.....
Wewe si ni mpole,kuna wanawake wengine utadhani wanakichaa cha mbwa lazima wakurarue.Hakuna cha sereka hata wangu mwenyewe anaweza kuhamishwa tu, sasa kwanini namie nisihamishe wa mtu
Hata akinirarua ndo nshahamishia goma kwanguWewe si ni mpole,kuna wanawake wengine utadhani wanakichaa cha mbwa lazima wakurarue.
Nahene ng'wana mayu, ngojaga tuloleNipo hapa ilumbu lyane sina hata uhusiano
mmmmhhh!!!,yaani unakubali kuraruliwa kisa rungu??,sasa km una mume kuna haja gani ya kutolewa meno ya sebuleni,kisa mume wa mtu??.Hata akinirarua ndo nshahamishia goma kwangu
Mmh mzunguko wote wa nin
Looh !! kwani kuna njia ya mkato?Mmh mzunguko wote wa nin
Nipo tayari kutolewa meno yote nibaki kibogoyo kisa "mti"mmmmhhh!!!,yaani unakubali kuraruliwa kisa rungu??,sasa km una mume kuna haja gani ya kutolewa meno ya sebuleni,kisa mume wa mtu??.
unaanika namba ya nn? si ulisema hutaki kugawa namba?
Huyu yuko sokoni,tangu majuzi anakazana kuleta thread za kukaba attention za watu,ana make cheap popularity,anachachawa kama vile ametiwa ndimu.unaanika namba ya nn? si ulisema hutaki kugawa namba?
Kweli mti ni mtamu.Nipo tayari kutolewa meno yote nibaki kibogoyo kisa "mti"
Shikamoohahahaha
Ushindwe mwenyewe kunitongoza sasa!