Jinsi ya kutongoza Mwanaume

Jinsi ya kutongoza Mwanaume

Nakubaliana na wewe, kwa ujenzi wa aina hii nyumba zingine imara kweli.
 
Mleta mada umefanya tafiti? Pamoja na kwamba wewe ni mwanamke, unajua mnayopitia ktk kumtongoza mwanaume, je umefanya uchunguzi kuwa nasi wanaume tunapenda mnavyokuwa mnajibaraguza ktk huo mchakato uliousema hapo juu??
Binafsi napenda mwanamke jasiri, siku chache tu awe ameshanipa signals za kutosha kuwa ananipenda!
Sio mara JUST A FRIEND, mara nani sijui! aaaaaagggggrrrrrhhhhh!
 
Sijui huyo kwenye picha pia ni yeye?? 47pro
Ndo yy aisee
9cf6f9eeb15b24739f08ff8790e10cbd.jpg
 
1:ASIWE KWENYE UHUSIANO
Jambo lingine la kuzingatia kwa
mwanaume huyo wakati wa harakati
za kumweka mikononi mwako ni
kuhakikisha hayupo kwenye
uhusiano na mtu mwingine. Kuna
baadhi ya wanawake wapo tayari
kuwa na mwanaume hata kama yupo
na mpenzi mwingine; hilo ni kosa na
naweza kusema ni umasikini wa
kufikiri.
Kama kweli umempenda, itakuwa na
maana kama utaweka makazi ya
moyo wako kwake milele na siyo kwa
muda mfupi tu.
2:JISOGEZE ZAIDI
Tayari umeshakuwa na uhakika kuwa
hana mtu, sasa unatakiwa kujisogeza
karibu yake. Jizoeshe kumsalimia
mara kwa mara na kumsifia kuwa
amependeza.
Kamwe usioneshe dalili kwamba
wewe ni ‘maharage ya Mbeya’, ishia
kwenye kujisogeza karibu yake kwa
kumsifia na kufanya mambo mengine
yanayofanana na hayo na siyo zaidi ya
hapo.
3:JENGA URAFIKI
Ukaribu wenu sasa unaweza
kuwafanya marafiki wa karibu. Kama
uko naye ofisi moja au mnaishi mtaa/
nyumba moja ni rahisi zaidi. Kuwa
rafiki yake wa kweli mwenye
kujadiliana naye mambo ya msingi.
Katika urafiki wenu, kamwe usiwe
mzungumzaji sana (hasa wa mambo
yasiyofaa), aidha usipende kukaa
naye katika mazingira yenye vificho
ambayo yataweza kusababisha
kuingia kwenye mtego mbaya.
4:ZUNGUMZIA ZAIDI MAISHA
Kuzungumzia zaidi maisha na
kumshauri juu ya mambo muhimu ya
maisha, kutamfanya akuone wewe ni
mwanamke makini mwenye malengo
mazuri katika maisha yako. Wanaume
wanapenda sana wanawake ambao
vichwa vyao vinafanya kazi sawasawa.
Hii inaweza kuwa sababu
itakayomfanya atamani kuwa karibu
yako zaidi, jambo ambalo ndiyo
shabaha ya moyo wako.
5:HAKUNA YEYE BILA WEWE
Kwa sababu tayari ni marafiki na
mnashirikiana baadhi ya mambo,
tengeneza mazingira ya kuwa naye
karibu zaidi. Mshirikishe kwenye
mambo yako, mfanye ajione si
mkamilifu bila kuwa na wewe karibu.
Hili litawezekana kwa kuishika siku
yake, kumtakia siku njema na
kumjulia hali yake kazini na
maendeleo yake kwa ujumla. Kwa
kuwa ni marafiki, kwa ndani lazima
hisia za mapenzi zitaibuka juu yako
na utamuweka kwenye nafasi ya
kufikiri kuanzisha uhusiano na wewe.
6:NI WAKO TU!
Ukipitia hatua zote, bila shaka
mwanaume huyo ni wako tu. Ikiwa
pamoja na vyote hivyo bado
haonyeshi dalili au hajafunguka kuwa
unamhitaji, basi mwache, siyo riziki
yako. Kwa nini ung’ang’anie
usipopendwa?

TUONANE APRIL.
47PRO, UoN
+254732860896.
https://www.jamiiforums.com/index.p...iv unaitoa hata kabla hujaombwa......makyu ww..
 
1:ASIWE KWENYE UHUSIANO
Jambo lingine la kuzingatia kwa
mwanaume huyo wakati wa harakati
za kumweka mikononi mwako ni
kuhakikisha hayupo kwenye
uhusiano na mtu mwingine. Kuna
baadhi ya wanawake wapo tayari
kuwa na mwanaume hata kama yupo
na mpenzi mwingine; hilo ni kosa na
naweza kusema ni umasikini wa
kufikiri.
Kama kweli umempenda, itakuwa na
maana kama utaweka makazi ya
moyo wako kwake milele na siyo kwa
muda mfupi tu.
2:JISOGEZE ZAIDI
Tayari umeshakuwa na uhakika kuwa
hana mtu, sasa unatakiwa kujisogeza
karibu yake. Jizoeshe kumsalimia
mara kwa mara na kumsifia kuwa
amependeza.
Kamwe usioneshe dalili kwamba
wewe ni ‘maharage ya Mbeya’, ishia
kwenye kujisogeza karibu yake kwa
kumsifia na kufanya mambo mengine
yanayofanana na hayo na siyo zaidi ya
hapo.
3:JENGA URAFIKI
Ukaribu wenu sasa unaweza
kuwafanya marafiki wa karibu. Kama
uko naye ofisi moja au mnaishi mtaa/
nyumba moja ni rahisi zaidi. Kuwa
rafiki yake wa kweli mwenye
kujadiliana naye mambo ya msingi.
Katika urafiki wenu, kamwe usiwe
mzungumzaji sana (hasa wa mambo
yasiyofaa), aidha usipende kukaa
naye katika mazingira yenye vificho
ambayo yataweza kusababisha
kuingia kwenye mtego mbaya.
4:ZUNGUMZIA ZAIDI MAISHA
Kuzungumzia zaidi maisha na
kumshauri juu ya mambo muhimu ya
maisha, kutamfanya akuone wewe ni
mwanamke makini mwenye malengo
mazuri katika maisha yako. Wanaume
wanapenda sana wanawake ambao
vichwa vyao vinafanya kazi sawasawa.
Hii inaweza kuwa sababu
itakayomfanya atamani kuwa karibu
yako zaidi, jambo ambalo ndiyo
shabaha ya moyo wako.
5:HAKUNA YEYE BILA WEWE
Kwa sababu tayari ni marafiki na
mnashirikiana baadhi ya mambo,
tengeneza mazingira ya kuwa naye
karibu zaidi. Mshirikishe kwenye
mambo yako, mfanye ajione si
mkamilifu bila kuwa na wewe karibu.
Hili litawezekana kwa kuishika siku
yake, kumtakia siku njema na
kumjulia hali yake kazini na
maendeleo yake kwa ujumla. Kwa
kuwa ni marafiki, kwa ndani lazima
hisia za mapenzi zitaibuka juu yako
na utamuweka kwenye nafasi ya
kufikiri kuanzisha uhusiano na wewe.
6:NI WAKO TU!
Ukipitia hatua zote, bila shaka
mwanaume huyo ni wako tu. Ikiwa
pamoja na vyote hivyo bado
haonyeshi dalili au hajafunguka kuwa
unamhitaji, basi mwache, siyo riziki
yako. Kwa nini ung’ang’anie
usipopendwa?

TUONANE APRIL.
47PRO, UoN
+254732860896.
unaanika namba ya nn? si ulisema hutaki kugawa namba?
 
Super human una kumbukumbu kweli safii umembaini mpige na doctrine of estoppel..
 
Wewe si kuna thread hapa umetulaumu tunaomba namba sana, na ukasema hutatoa namba abadani. Sasa inakuwaje umeiweka hapo bila kuombwa?????
 
Ulisema hutaki kutoa number ya simu pm. I wonder now ipo hadharani ( vizuri). Ila wanaume wazuri wote wapo kwenye mahusiano( kwa mtazamo wangu)
Nini definition yako ya uzuri kwa mwanaume? Je ni sura, misuli, kifua kipana kilichojaa vinyweleo, pochi iliyoshiba au?
 
Back
Top Bottom