Jinsi ya kutongoza Mwanaume

Jinsi ya kutongoza Mwanaume

47pro, wewe ulishawanasa wangapi kwa kutumia njia hizi?! mm mwanamke akinitongoza tu! shughuli imeishia hapo hapo! bora unitege tege nipate hisia flani juu yako, ila si kunitamkia moja kwa moja utakuwa umeharibu! hata mwanamke nikimtongoza kwa mara ya kwanza akakubali haraka haraka nakinai! simrudii abadan!
 
mkuu mbona unawapa mzigo usiowahusu wapendwa wetu? yote hayo ya nini wakati kuna bando la chuo? hiyo lecture yako kama hakuna yuii hawamezi hawa!
 
Ukimtongoza mwanaume hawezi kukuheshimu Hata kidogo they are wired kutongoza..msijarib kutongoza wadada ni fedheha ni kama kumchangia mwanaume mahali yako mwenyewe
Kisa cha kuumiza moyo wangu ni nini? Nikimtaka mwanaume sitazuia hisia zangu. Never!
 
Kumbe unaweza kuandika bila ile kenyan slang?
 
Huo ni utapeli wa mapenzi haiwezekani uzunguke kote huko labda humpendi.usifiche hisia zako wewe mwoneshe upendo wa dhati tu hata ndani ya masaa kadhaa kwa mwanaume anayejielewa ataelewa tu.
 
Back
Top Bottom