Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Nilishakamata kama watatu ila wote walikuwa vimeo, ngoja niendelee naharakati labda nitabahati kumpata mtoto waukweli????
 
Mmh! Niliwahi kumkurupukia mtu mmoja humu akaniambia ni mama wa miaka 45,pozi likaniisha! Nakiri,kuna wadada nafahamiana nao humu na hapa kwenye uzi nawaona wanatiririka safi tu! Kizuri zaidi,hakuna hata mmoja aliyewahi kujilaumu kukutana na mimi,make huwa sipo after mbunye japokuwa baada ya kumeet nao wengi hunitaka tu do! Something that i will never do,shida yangu huwa ni tofauti kbs na fikra zao. Natamani niwamensheni hapa ili wakonfem maneno yangu ila siwezi,nisije haribu mishemishe zangu bure..

Mmmhhhh!!!
 
I see! hivi hizi thread za kizandiki mbona hazikuwepo kabla ya mimi na lara 1 kuwa pamoja?

akyanani walahi hakuna rangi ambayo sitoiona mwaka huu, au watu walidhani mimi ni cow boy?

Kumbe ulisha nitangulia!
 
Last edited by a moderator:
Absolutely...! Hizi mbinu zina workout most of the time. Tulijaribu wakati wa harakati za ujana na tulifanikiwa. Bahati mbaya maini yameshazeeka sasa.
 
Absolutely...! Hizi mbinu zina workout most of the time. Tulijaribu wakati wa harakati za ujana na tulifanikiwa. Bahati mbaya maini yameshazeeka sasa.

Weee....sema hakyamungu
 
Back
Top Bottom