Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Jinsi ya kutongoza hapa Jamiiforums

Kuna wengine hua wanasapoti thredi za mademu kutupiga mizinga, ili waonekane wahongaji.
Pia ukianzisha thredi ya kukandia mbunye,eg chafu, inanuka etc, wao watakuja agaisnt wewe, ili akija kutongoza asinyimwe.
Kweli mkuu kuna mtu anajiita MATOLA yaani anapenda sifa za mademu kinoma.....
 
hahahaha tubaki dada na kaka kasema nani?
Wataka ninyima dushe asubui yote hii aaaaah!!

ningefata tekniks za mleta uzi ukute tungefika mbali sana saivi. ila poa ntaanza upya kama ivi.... Mafikizolo upo wangu
 
Last edited by a moderator:
JF watu wanamendeana wakigegedana wanaacha id za zamani wanakuja na mpya
 
Duh hii thread byee sana. Vp Madame X mzima wewe?? Mbona kimya sana jamani?
 
Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami @MZUNGU MZEE katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni.

KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.

UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.

tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira

Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.

MZUNGU MZEE habari yako binafsi
 
heheheeee unalike zote na kumaliza kuchati maneno yoote yanakuisha halafu siku ya siku ukikutana nae unakuta kumbe ni mwanaume mwenzio.....

Au licha ya kutania, licha ya kulike, licha ya kuchati na kupeana number za simu sio sababu ya kumpata mtu....Unaweza fanya hayo yoote ila mtu akawa hajavutiwa nawe mtakapokutana...hapo sasa kama ulishaweka fikra zako zote unaanza kuumia....

Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami @MZUNGU MZEE katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni.

KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.

UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.

tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira

Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.
 
Hahahahaah,nakufa kucheka,eti mambo ya mbunye.duh ila umu kuna watu hatari sana.nacheka mpaka watoto nao wanacheka akati hata hawajui nacheka nn.wakat mi nacheka zangu mambo ya mbunye.
 
Back
Top Bottom