Nivizie uone majibu Munkari
Na siye tunaruhusiwa kuvizia dushe??
Na siye tunaruhusiwa kuvizia dushe??
Etiee hebu nami nianze kwa kujaribu kwa kukulike nione kama inaweza kuthibitisha kwa mtoa madaHahahaaaaa.....Kati ya chunguzi ambazo umezifanya..Hii nimekubaliana na wewe...Uko sahihi kabisaa..!!
Hahahaaaaa.....Kati ya chunguzi ambazo umezifanya..Hii nimekubaliana na wewe...Uko sahihi kabisaa..!!
Baba paroko unataka kuwajua ili iweje? Km mbinu ndo hzo ushapewa, kazi kwako,,hahah
MCHUNGUZI HURU aisee naona unachunguza sana .... a
Mada umeiona, naomba mchango wako malkia wanguumeniita my king.........
hahahaaaa afadhali kuna mtu kanimention lol
nakuja sasa hivi...............
Be specific...muone
lol, umepitwa na umri nini?
niambie nije nikushike shike pahala! hahahaa!
Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami MCHUNGUZI HURU katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni....
KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.
UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.
tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira
Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.
MCHUNGUZI HURU
Tumeshakuelewa mkuu, hata wewe hapo umem-mention lara 1 kwa interest zako. Hongera sana mkuu