Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Heaven on Earth! Pm yako tu leo tu, napona presha ya kushuka!
hahahaaaa afadhali kuna mtu kanimention lol
nakuja sasa hivi...............
Heaven on Earth! Pm yako tu leo tu, napona presha ya kushuka!
samahani mkuu, ilikuwa ni katika kuwaelimisha wananfunzi wa form two njia wanazotumia kaka zao hapa
Huu uzi umenifanya nicheke tu ila no comment...
Hivi kumbe hapa kuna mbun... Nini sijui nyingi sana
I thought hapa ni mahali pa kupeana ushauri kumbe kuna watu wanatoa?
Mchunguzi hebu niambie,akina nani wanagawa?
Wewe kijana huna kazi ya kufanya? Haya kafanye kazi basi kama unayo.Vijana wengi hapa jamiiforums wanashindwa kupata wanawake mpaka inafika hatua watu wanaanzisha thread ikihoji ''hivi kuna mtu ameshawahi pata demu jf?'' ukweli ni kwamba hapa JF kuna mbunye nyingi sana ila tatizo vijana wengi hawajui jinsi ya kupata, Ungana nami MCHUNGUZI HURU katika uchunguzi wangu nilioufanya kipindi cha karibuni....
KOSA KUBWA LINALOFANYWA NA WATONGOZAJI NI:
Kwenda PM moja kwa moja na kuanza kuuliza taarifa personal. Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa wanawake wengi waliofatwa PM moja kwa moja wamekuwa wachoyo wa taarifa, wanakosa imani kwa muombaji wa taarifa, hivyo wanahitaji mazoea kwanza kabla ya kuombana taarifa. Nani asiyejua kuwa kufahamiana pamoja na kuchukua namba ya simu ni moja ya hatua kubwa ya kutongozana?? Ukienda PM moja kwa moja hupewi taarifa yoyote ile wala namba za simu kudadeki zako.
UFANYE NINI:?
Ndugu watongozaji, uchunguzi wangu umebaini kuwa wengi wanaogegedana hapa jamiiforums walianza kwa kutengeneza mazoea pamoja na utani wa hapa na pale kabla hawajaenda PM. Huwa wanatengeza vipi mazoea? Ndugu watongozaji, mazoea yanatengezwa kwa:
1. kuhakikisha una-comment kila thread atakayotoa huyo unaye mmendea
2. kuhakikisha una-like post zake popote pale utakapoziona
3. kuhakikisha unam-mention katika thread au post utakayovutiwa nayo
4. ukiona post yake MMU, unamtania.
tEknIKI zao utasikia: Mamndenyi njoo huku au miss chagga unapigwa majungu huku au mpenzi wangu masai dada mbona upo kimya sana au kigori wa kilwa mchepuko wangu pitia hapa usome......... Ukiona hivyo ujue ni wale ndugu watongozaji wajanja wanajitengenezea mazingira
Kwa kufanya hivyo utakuta nae siku nyingine anaku-mention katika thread mbalimbali ujue mazoea yameshanoga, hapo ukienda PM hausumbuliwi, hata kukunyima namba yake ya simu atakuonea aibu lakini ukienda kichwa kichwa mbunye za JF utazisikia tu redioni.
MCHUNGUZI HURU
Haswaaa! Anza sasa.Na siye tunaruhusiwa kuvizia dushe??
Umeona ee? MamndenyiMCHUNGUZI HURU, nakuona na wewe upo upo kwenye anga za mimi maza wako
vipi una kaagenda au ni mtazamo tu;
Ila Nimecheka
Umeifanya siku yangu leo aisee;
Uzi umekaa vizuri sana huu.
Hata mimi naanza kumkubali kiaina vile....Hahahaaaaa.....Kati ya chunguzi ambazo umezifanya..Hii nimekubaliana na wewe...Uko sahihi kabisaa..!!
Uzee mwisho bandarini au Chalinze....na sisi wazee tunaruhusiwa ku mention mabinti?
Inakusubiria...Na siye tunaruhusiwa kuvizia dushe??
Na siye tunaruhusiwa kuvizia dushe??
shosti wee acha tu....!! mi hooii apa yani mbavu sina lol watu wana vituko jaman uwiiiiii.
ahaaaaaaaaa ni shiiiiiida usitake mazoea yazid kwa comment watu wapo vizur