Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,036
- 871,146
Zinaitwa nafsi pingamiziitakuwa na kiburi sana hio nafsi
Zinaitwa nafsi pingamiziitakuwa na kiburi sana hio nafsi
Mmmmmhhhh.... kama kuota ndoto ni kwamba nafsi huwa inatoka basi nafsi yangu ni bingwa wa kutoka. Make nikisinzia kidogo tu naota iwe mchana au usiku naota tu...
Kuota ndoto mchana ni mbaya sana
Unakuwa na vague memories nyingi sana
Fikra zinakuwa nyingi mipango inakuwa mingi mwishowe vinakuwa compressed pamoja na kutengeneza hiyo vague memoriesFafanua mkuu
Nilikuwa nakusalimia tu [emoji690] [emoji698] [emoji697] [emoji696] [emoji697] [emoji698] [emoji690] [emoji691] [emoji699] [emoji692]所你家长。
Mshana jr ijazilizie basi maana nahisi hadi kiu ya hili somo lililopwayaHeading nzuri sana lakini kwenye contents hajatenda haki kuna mengi mno hajayazungumzia hapa
Nimekuelewa nipe muda naweza kuja na mada kamiliMshana jr ijazilizie basi maana nahisi hadi kiu ya hili somo lililopwaya
PoaNimekuelewa nipe muda naweza kuja na mada kamili
Popo bawa atakuja....kwan ikitoka kuna shida gan??
Mi huota sana ubaya wake nini?Kuota ndoto mchana ni mbaya sana
Mti wa chumaaaa!!! Ubaya wake ni nn?Kuota ndoto mchana ni mbaya sana
Habari msomaji wa uzi huu. Karibu ujifunze mambo mbalimbali katika ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.
Kama kichwa cha uzi huu inavyosema (Jinsi ya kuthibiti nafsi isitoke kwenye mwili)
Kila binadamu nafsi yake hutoka kwenye mwili hasa pindi mtu akiwa amelala. Hiyo hali ya nafsi kutoka kwenye mwili watu wengi wanasema nimeota ndoto nikiwa sehemu fulani nk. Naomba nieleweke vizuri; unapoota ndoto hii ni dalili kuwa nafsi yako imetoka kwenye mwili.
Ili kuthibiti hii hali fanya yafuata:
-Kama wewe ni mkristo/mwislamu na hupendi nafsi yako itoke kwenye mwili fafa sala kabla hujalala,
-Kama wewe huna dini (mpagani) kama mimi, kabla hujalala hakikisha uko msafi, yaani usilale ukiwa mchafu wa mwili kama ulizini na mwanamke/ Mwanaume
-Usipende kulala chale.
Endapo hali hii hutokea mara kwa mara unapolala weka kitu chenye ncha kali juu ya kitanda chako.
Ahsante...
Legalize it, ganjaHabari msomaji wa uzi huu. Karibu ujifunze mambo mbalimbali katika ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.
Kama kichwa cha uzi huu inavyosema (Jinsi ya kuthibiti nafsi isitoke kwenye mwili)
Kila binadamu nafsi yake hutoka kwenye mwili hasa pindi mtu akiwa amelala. Hiyo hali ya nafsi kutoka kwenye mwili watu wengi wanasema nimeota ndoto nikiwa sehemu fulani nk. Naomba nieleweke vizuri; unapoota ndoto hii ni dalili kuwa nafsi yako imetoka kwenye mwili.
Ili kuthibiti hii hali fanya yafuata:
-Kama wewe ni mkristo/mwislamu na hupendi nafsi yako itoke kwenye mwili fafa sala kabla hujalala,
-Kama wewe huna dini (mpagani) kama mimi, kabla hujalala hakikisha uko msafi, yaani usilale ukiwa mchafu wa mwili kama ulizini na mwanamke/ Mwanaume
-Usipende kulala chale.
Endapo hali hii hutokea mara kwa mara unapolala weka kitu chenye ncha kali juu ya kitanda chako.
Ahsante...
Mkuu kuna kipindi cha miaka kama 10 iliyopita nikiota sana vidole vya mikono au miguu ikiliwa au kutafunwa na ng'ombe lkn ktk maisha yangu sijawahi kuona tukio la aina hyo.Naomba kuwa tpgauti nawe kwa 10000000%
Nafsi ninini? Nafsi ni wewe mwenyewe. Kwa mujibu wa biblia, ni kwamba Mungu alimuumba mwanadamu akiwa mfu.
Kisha akampulizia pumzi ndipo mtu akawa hai. Kitendo cha kuwa mtu ndio nafsi. Mtu hana nafsi bali mtu ni nafsi. Sasa mtu atatokaje kwa mtu?
Ndoto ni kitendo cha akili itunzayo kumbukumbu kuendelea kufanyakazi wakati mwili umelala usingizi.
Ndio maana huwezi kuoya kitu ambacho hujawahi kukiona. Ukiota lzm utaota kitu ambacho umewahi kukiona hivyo kumbukumbu ile huendelea kupita akilini ndio ndoto.
Hivyo naomba niikatae post yako kuwa ulichoandika sio sahihi