Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Habari msomaji wa uzi huu. Karibu ujifunze mambo mbalimbali katika ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho.
Kama kichwa cha uzi huu inavyosema (Jinsi ya kuthibiti nafsi isitoke kwenye mwili)
Kila binadamu nafsi yake hutoka kwenye mwili hasa pindi mtu akiwa amelala. Hiyo hali ya nafsi kutoka kwenye mwili watu wengi wanasema nimeota ndoto nikiwa sehemu fulani nk. Naomba nieleweke vizuri; unapoota ndoto hii ni dalili kuwa nafsi yako imetoka kwenye mwili.
Ili kuthibiti hii hali fanya yafuata:
-Kama wewe ni mkristo/mwislamu na hupendi nafsi yako itoke kwenye mwili fafa sala kabla hujalala,
-Kama wewe huna dini (mpagani) kama mimi, kabla hujalala hakikisha uko msafi, yaani usilale ukiwa mchafu wa mwili kama ulizini na mwanamke/ Mwanaume
-Usipende kulala chale.
Endapo hali hii hutokea mara kwa mara unapolala weka kitu chenye ncha kali juu ya kitanda chako.
Ahsante...