Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,194
- 4,112
JINSI YA KUTENGENEZA MAZIWA YA MTINDI/ MAZIWA YA MGANDO (YOUGHURT)
Vipimo:
Maziwa fresh/maziwa ya maji lita 1
Maziwa mtindi vijiko 6
Maelekezo:
Matumizi ya maziwa mtindi:
*Unaweza kunywa hivi hivi kama kinywaji au dessert.
*Unaweza kutumia kama mboga ukala kwa ugali au wali
*Unaweza kuweka kwenye salad/kachumbari
*Unaweza kuweka kwenye mchanganyiko wa matunda/fruit salad
*Kufanyia marination ya samaki, nyama au kuku
*Kwenye mapishi mbalimbali kama biriani, keki, maandazi, kaimati, biskuti, visheti, ice cream, lambalamba n.k
*Kwenye masuala ya urembo n.k
FAIDA ZA MTINDI
Kitu kimoja ambacho hamukuelimishwa maishani ni juu ya maziwa ya MTINDI (maziwa mgando) kuwa ndio maziwa salama na yenye afya zaidi ya maziwa fresh, ni pale tu kama utajua kuwa maziwa fresh katika usagikaji wake tumboni huchukua mdaa mrefu zaidi ya masaa 53 (hamsini na tatu).
Pili faida za maziwa ya fresh ni chache sana , Narudia kwa maandishi makubwa kuwa FAIDA ZA MAZIWA FRESH NI CHACHE ukilinganisha na faida zipatikanazo kwenye maziwa MTINDI. Hebu tazama kwa ufupi tu faida za maziwa ya MTINDI, na kisha ujitwalie glass yako ya maziwa ya mtindi leo kwa manufaa zaidi:
Bonus: Tiba ya tumbo linalouma, kichefu chefu, kuhalisha (kuhara) sumu tumboni n.k. Kama ningeandika faida zote 66 za maziwa ya mgando hapa wenda wote tungechoka kusoma ila yapo makosa haya tunafanya kwenye maziwa hayo na hivyo kuwa hatari zaidi, nayo ni tabia ya kuongeza sukari mbichi kwenye maziwa hayo ni makosa kwani hugeuka kuwa sumu badala ya tiba wala afya.
Vipimo:
Maelekezo:
- Pasha moto maziwa katika sufuria hadi yawe na joto ukishika na kidole (vugu vugu).Tia mtindi kisha koroga vizuri kuhakikisha umejichanganya vizuri hakuna mabuja. Tumia whisk kwa urahisi
- Mimina mchanganyiko wako katika bakuli au chombo kisafi unachotaka kugandishia maziwa yako.
- Funikia bakuli lako au chombo chako na mfuniko kisha weka katika sehemu ya joto uache kwa muda wa masaa 6-7.
- Mtindi mzito na mtamu tayari kwa kuliwa.
Matumizi ya maziwa mtindi:
*Unaweza kunywa hivi hivi kama kinywaji au dessert.
*Unaweza kutumia kama mboga ukala kwa ugali au wali
*Unaweza kuweka kwenye salad/kachumbari
*Unaweza kuweka kwenye mchanganyiko wa matunda/fruit salad
*Kufanyia marination ya samaki, nyama au kuku
*Kwenye mapishi mbalimbali kama biriani, keki, maandazi, kaimati, biskuti, visheti, ice cream, lambalamba n.k
*Kwenye masuala ya urembo n.k
FAIDA ZA MTINDI
Kitu kimoja ambacho hamukuelimishwa maishani ni juu ya maziwa ya MTINDI (maziwa mgando) kuwa ndio maziwa salama na yenye afya zaidi ya maziwa fresh, ni pale tu kama utajua kuwa maziwa fresh katika usagikaji wake tumboni huchukua mdaa mrefu zaidi ya masaa 53 (hamsini na tatu).
Pili faida za maziwa ya fresh ni chache sana , Narudia kwa maandishi makubwa kuwa FAIDA ZA MAZIWA FRESH NI CHACHE ukilinganisha na faida zipatikanazo kwenye maziwa MTINDI. Hebu tazama kwa ufupi tu faida za maziwa ya MTINDI, na kisha ujitwalie glass yako ya maziwa ya mtindi leo kwa manufaa zaidi:
- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia mfumo wa chakula kwa mtoto mdogo kuwa sawa.
- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia katika usagaji wa chakula tumboni.
- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kushambulia vijidudu vinavyo jificha tumboni visababishao magonjwa ya tumbo.
- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kupunguza madhara ya bacteria wa vidonda vya tumbo.
- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuleta nafuu ya maumivu kwa watu wenye vidonda vya tumbo.
- Unaweza kujipaka maziwa ya mgando kwenye ngozi hasa kama unashida ya ngozi mfano wa mapunye, miwasho, fungus n.k.
- Kwa mwanamke mwenye kuhisi miwasho , uchafu , fungus kwenye uke wake anaweza jioshea maziwa ya mtindi kuondoa na kutibu kabisa hali yoyote kama hizo.
- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuzuia bacteria wasababishao uvimbe(Saratani) hasa maeneo makuu tumboni, mifupa, ngozi, tumboni n.k.
- Hufungua choo kwa mtoto mdogo mwenye shida ya choo kwa kipindi kirefu.
- Hufungua mfumo wa chakula hasa kwa mtu ambaye ameshinda bila kula kwa siku nzima.