Maziwa fresh na mtindi na cheese kwa bei ya jumla na reja reja

kagwima

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
1,241
1,548
Kama unahitaji maziwa mtindi au fresh na cheese kwa jumla au reja reja karibu PROFET, tupo Tabata chama nyuma ya DAWASCO.

Huduma ya derivery ipo kwa wateja wakubwa na kwa wateja wa kawaida tutashea gharama za kukufikishia, pia tuna duka la kuuza maziwa Segerea mwisho na Kinyerezi mwisho pia

Maziwa yanapatikana kuanzia robo lita mpaka lita 5000.

Kwa mawasiliano: 0762036898

Karibuni sana.
 
Unauzaje kwa bei ya jumla.
Lita ngapi ndo inakuwa bei ya jumla?
 
Back
Top Bottom