Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

Mc TC
unataka kunishika pabaya sasa
hapo hapo ishia

nionee huruma
huu utani wa kiongo karibu na ukweli huwa siupendi kweli

ok usijali!ushauri wa bure jibadilishe jina liwe la kisista du uwabambe viserengeti!jiite sweet konnie uone!si unaona watu wakimcheki preta jina na avatar wanadhani ni kasichana kumbe ni mama yangu mdogo!teh!teh!preta akija hapa sijui itakuwaje!ngoja nikimbie!
 
he he he
naanza kubana sauti
hadi niwachanganye nza sauti

Back
Top Bottom