Jinsi ya Kutambua Umri wa Mwana-JF

kingine hulka ya uandishi!mtu mwingine kwa tabia yake ya uandishi unajua kabisa huyu ni wa age gani!mfano mimi leo nikijifanya babu sichukui muda mtanijua tu!lakini for all these years unaona kabisa kuna mababu wa kweli kama babu dc,odm etc!wako consistency kwa hulka yao ya uandishi!
 
sasa wanaoanzisha topic kama hizi za kutaka kujua umri wa mtu nao wanakuwa na umri gani? manake ukifikia umri wangu u stop counting and avoid besdeiz
:photo:
 
UREFU WA TOPIC;vijana wa dot.com vitopic vyao na post zao zina mistari 2 au 5!lakini watu aged huongea kwa marefu mf topic\post za ashadii!
 
sasa wanaoanzisha topic kama hizi za kutaka kujua umri wa mtu nao wanakuwa na umri gani? manake ukifikia umri wangu u stop counting and avoid besdeiz
:photo:

tofauti yako na mtoa mada ni 10+yrs!sio pungufu!age ya ku-stop counting huanzia 40 plus!wewe si pungufu ya 40yrs i suggest
 
Nikadirieni na mimi,ila ukweli ni kuwa member walio wengi jf wanarange 25-45. Niliwahi kumwambia kijana mmoja aachane na mambo ya fb wa age ya 21, akaniambia amesikia huo mtandao una watu wazima na ni wasomi sana na wanashushua sana ukiandika upuuzi kama fb,so akaniambaia hadi atakapokwenda chuo..
 
Ukweli gani ndugu?

Anayejua umri wangu ni mama yangu aliyenizaa. Wewe ume guess tu na umekosea. Sasa nisiseme kama umekosea?

Au wewe ndiyo mama yangu mzazi? Lol

Manake JF msitu....unaweza kabisa ukawa ndiye mama yangu mzazi uliyenizaa.

itakuwa una 50 something..
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom