chash
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 548
- 230
Wakuu nahitaji kufungua kampuni itakayo shughulika na masuala ya IT, makao yake makuu ningependelea yawe Dar na vilevile kuwe na matawi mikoani. Bado sijaandaa ofisi. Kuna uwezekano wa kupata usajili?
Naombeni msaada wa hatua za kufuata ili kwanza ikiwezekana nipate usajili wa jina la kampuni kama inawezekana!!
angalia hii link pia
https://www.jamiiforums.com/ujasiri...sha-kampuni-general-supplier.html#post4103650