Mkuu consultancy firm (ni company just like any company) hivyo lazima isajiliwe ili iweze kujulikana kisheria.
Ukienda TRA wana uhuni mmoja mbaya sana wa kutengenezea TIN na kukupa makadirio ya mapato then siku ya kukupatia certificate wanakuambia ulipie first installment hata kama hujaanza kufanya biashara, yamenikuta 3 good times.
Kwa nyongeza, hatua ya kwanza should be a "name search", kwahiyo ni lazima uende na barua uliyoiandika ukiomba kuangaliziwa jina. Kwa maana hiyo kwenye hiyo barua yako "utapropose" majina matatu ukiwa umeyapangilia kulingana na "priority order" yako.
Hao watu wa Brela wakishaipokea hiyo barua watakupa kama siku mbili ili waangalie kwenye database yao kama hayo majina (kufuatana na priority order yako) hayajatumika.Ukishajua ni jina lipi limekubaliwa ndipo sasa utatakiwa kuandaa Memorandum of Association na Articles of Associasion kwa kutumia jina lililokubaliwa.
Maelezo zaidi pata kwenye hii link.
Wana-forum, wana-ICT je, hapa solution haiwezi kutengenezwa kurahisisha hii process yote? Kwa nini nifike pale BRELA ili kuchukua form tu? Name search kuchukua couple of days is not acceptable level of service wakati technology ipo kurahisiha these name searches. Kwani huko uwani, wana-search mafaili manually? Kwa mwendo huu hatutafika kamwe.
Unaweza kufanya name searches online. Tizama kwenye website yao sehemu ya "Search Company" - BRELA-Home
Nahisi hii huduma imewekwa muda si mrefu.

Ukikwama kwenye link aliyoweka Chibidu jaribu:
BRELA-Company Registration

Hawafanyi update ya database yao mara kwa mara, itakupoteza. Halafu waende kula wapi??
Natafuta kwa nini forms zao za kusajili kampuni wasiziweke kwene mtandao ili watu kama sisi tunaotazitafuta tuweze kuzipata kwa urahisi?
mimi mwenyewe mkuu yamenikuta ..........nilikuwa nafuatilia TIN number yangu ya duka la hardware & Building materials. Mama mmoja alinishikia bango vibaya mno.....ati kalipe kwanza then ndo uchukue Certificate .........ilinibidi mkuu nifanye hivo.
Huko TRA rushwa tu hamna chochote mie nilimpa kijana mmoja pale elfu20 akanifanyia estimate kuwa cjapata faida hivyo ckulipa chochote na TIN namba ya kampuni na directors wote zilitoka free of charge
Unaweza kufanya name searches online. Tizama kwenye website yao sehemu ya "Search Company" - BRELA-Home
Nahisi hii huduma imewekwa muda si mrefu.
Ukikwama kwenye link aliyoweka Chibidu jaribu:
BRELA-Company Registration
Mkuu consultancy firm (ni company just like any company) hivyo lazima isajiliwe ili iweze kujulikana kisheria.
Ukienda TRA wana uhuni mmoja mbaya sana wa kutengenezea TIN na kukupa makadirio ya mapato then siku ya kukupatia certificate wanakuambia ulipie first installment hata kama hujaanza kufanya biashara, yamenikuta 3 good times.
Kumbuka, baada ya kusajili kampuni (Incorporation) na kabla ya kuanza biashara utatakiawa kupata leseni ya biashara (business licence) na pia kujisajili kama mlipa kodi (TIN certificate).
Nakutakia mafanikio.