Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 420
- 939
Ulishajibiwanaomba msaada ninasajili mwenyewe ila sehemu ya kuingiza namba ya kitambulisho cha nida wananambia person not find
Ulishajibiwanaomba msaada ninasajili mwenyewe ila sehemu ya kuingiza namba ya kitambulisho cha nida wananambia person not find
ExactlyBRELA wana matatizo sana..Mkurugenzi katumbuliwa bado matatizo yao hayaishi...Hii ya kutumia kitambulisho cha Taifa ni upuuzi sababu vitambulisho vya Taifa bado watu wengi hawajapata
Asante Mkuu thesym
Ni kweli Mkuu watu wengi hawajapata. Lkn BRELA wanatoa barua ya kukurahisishia kupata kitambulisho kwa muda mfupi baada ya kukamilisha kujaza fomu zote. Hivyo unachofanya, unapotaka kurudisha fomu ulizojaza ambatanisha na barua kutoka BRELABRELA wana matatizo sana..Mkurugenzi katumbuliwa bado matatizo yao hayaishi...Hii ya kutumia kitambulisho cha Taifa ni upuuzi sababu vitambulisho vya Taifa bado watu wengi hawajapata
Nimelijibu MkuuWakuu nasajili kakampuni kangu kadogo BRELA. Nataka kwanza nipate jina la kampuni. Sasa nikiingiza namba ya kitambulisho changu wananambian person not found, nipo na mawazo hapa anayejua wanaingizaje namba anisaidie wadau
Mkuu umri huo wa miaka 17 si bado mtoto kwa mujibu wa sheria? Mm naona BRELA wapo sahihi. Hebu tuwaite wanasheria watolee ufafanuzi juu ya umri huu a miaka 17. Ingekuwa miaka 18 ningekua pamoja nawe kwa hili la BRELABRELA wanamatatizo, mwaka juzi nilataka kusajili kampuni wakanikatalia wakesema na miaka 17 nisubiri mpaka nifikishe 21, nikarudi manispaa wakanisajilia biashara tu
nishafanikiwa ila duuh utata mtupuMkuu umri huo wa miaka 17 si bado mtoto kwa mujibu wa sheria? Mm naona BRELA wapo sahihi. Hebu tuwaite wanasheria watolee ufafanuzi juu ya umri huu a miaka 17. Ingekuwa miaka 18 ningekua pamoja nawe kwa hili la BRELA
"Utata mtupu" kivipi, fafanua!nishafanikiwa ila duuh utata mtupu
Unaweza kusajili kampuni online kwa hapa Tanzania kwa:nawezaje kusajili kampuni online?
YesUlishajibiwa