Karibu sanaYaani nilitafuta sana msaada wa watu kama nyinyi Afrolink, nitawatafuta soon
Mwishoni mwa maelezo kuna kiunganishi kwenda kwenye hatua 10 za kufuata ili kusajili kampuni kupitia website ya brela.Mkuu hizi hatua kumi rahisi ni Kwa ajili ya business name registration au companies registration? Na je naweza sajili kampuni online bila kufika BRELA? Msaada pls
Cha kwanza kabisa unatakiwa kuwa na kitambulisho cha taifa au namba ya kitambusho cha taifa.Uzi huu umekuja wakati mwafaka wakati nikijipanga kwenda BRELA, ni vitu gani ninahitaji kuwa navyo pindi ninapotaka kufungua kampun(registration) hapa kwetu?
Cha kwanza kabisa unatakiwa kuwa na kitambulisho cha taifa au namba ya kitambusho cha taifa.
Bila hicho huwezi kufungua akaunti ambayo itakuwezesha kufanya shughuli yoyote kwenye system kama business name registration nk.
Mbadala wa kitambulisho cha taifa??
Hahah hata mimi niliuliza nikaambiwa bila ID hupati kitu.Bahati nzuri wiki na nusu nikakipata.Mbadala wa kitambulisho cha taifa??
ama bado sijjapata kitambulisho nifanyeje?Cha kwanza kabisa unatakiwa kuwa na kitambulisho cha taifa au namba ya kitambusho cha taifa.
Bila hicho huwezi kufungua akaunti ambayo itakuwezesha kufanya shughuli yoyote kwenye system kama business name registration nk.
Ushirika ghorofa namba 8,kuna ofisi ndogo za NIDA utapeleka form yako uliyojaza ikiwa na muhuri wa serikali za mtaa unaokaa,utaenda namba 6 kupewa kibali then utapigwa picha na alama za vidole,after a week tayarik
ama bado sijjapata kitambulisho nifanyeje?
Kufungua kampuni ambayo itakua inaoperate online tu brela mnahusika hapo?Napenda kuwajuza wana JF kwa yoyote mwenye uhitaji wa kusajili company limited au business name au mwenye swali lolote kuhusu usajili wa brela unaweza kuniuliza hapa au kuni PM for more info.
Asante
Ulikipataje?Hahah hata mimi niliuliza nikaambiwa bila ID hupati kitu.Bahati nzuri wiki na nusu nikakipata.
Kufungua kampuni ambayo itakua inaoperate online tu brela mnahusika hapo?
Mkuu ipo hivimsaada wakuu kwa mfano nikisajili jina la biashara vip kuhusu kodi lazima mahesabu yakaguliwe na auditor au TRA watanikadiria tu