KIBANDA EDWARD_999
Member
- Nov 15, 2016
- 24
- 8
Je kufungua financial consulting ni kiasi gani na je kusajili jina ni kiasi gani je nikitaka nianze kukopesha nahitajika nitoe kiasi gani… ……
Mkuu pitia hiiJe kufungua financial consulting ni kiasi gani na je kusajili jina ni kiasi gani je nikitaka nianze kukopesha nahitajika nitoe kiasi gani… ……
Kufungua biasharaMsaada wana jamvi
Naomba kujuzwa juu ya masharti ,sheriA Na taratibu za kufungua cosmetics shop pamoja na mtaji minimum wa kuanza nao
Asalaam nawasilisha
Like it very much, its helpfullWana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
-------------------------------------
Nakushauri ingia ktk website yao www.brela.go.tz juu pale pna kipengele cha contacts, cheki utaona namba za simu kuwasilisha malalamiko. Wasilisha hapo kwa kumpigia cm ya mkononi mhusika moja kwa mojaKwanini Brela wanazingua kusajili Kampuni ? Kila siku wanasema system IPO down sijui INA matatizo, je ni Kweli hii kitu au ni hujuma wakati MTU umelipia kila kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu.
-------------------------------------
ShukraniNakushauri ingia ktk website yao www.brela.go.tz juu pale pna kipengele cha contacts, cheki utaona namba za simu kuwasilisha malalamiko. Wasilisha hapo kwa kumpigia cm ya mkononi mhusika moja kwa moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinasajiliwa BRELA pia ambazo zinakuwa ni limited kampuni zisizo na shea (non-profit associations)Hivi hata hizi non-profit associations nazo zinasajiliwa BRELA? Kama siyo, ni taasisi gani inasajili hizi associations?
NB: Non-profit associations ni taasisi/kampuni zisizo za kibiashara. Msaada tafadhali.
Asante sana mkuu.Zinasajiliwa BRELA pia ambazo zinakuwa ni limited kampuni zisizo na shea (non-profit associations)
Gharama zake angalia ktk fomu ya "fee structure" za BRELA ni 300k+ (cheki no 2)
Ukisajili hii then unaweza kusajili km NGO ktk ngazi ya utendaji wilaya, mkoa, taifa au kimataifa Wizara ya Maendeleo ya Jamii na watoto
View attachment 854849View attachment 854853
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo ya nini!? Kama ni ishu inayohusiana na Credit nimejibu kwa mujibu wa swali lake na nyongeza ya suala la NGO
naomba msaada ninasajili mwenyewe ila sehemu ya kuingiza namba ya kitambulisho cha nida wananambia person not findLike it very much, its helpfull