OBRS haipo tena. Kama hujamaliza application ndani ya siku sita kila kitu kinafutwa itakubidi uanze upya, ndio maana nikashauri kwa kusisitiza uwe na taarifa zote kabla hujaanza kuomba kwa sababu ukikosa hata taarifa ndogo inaweza kukufanya urudie rudie mpaka uchokeInamaana baada ya kua aproved alaf sjafanya ORS ndan ya siku sita nitakua nmepoteza info zote za kule obrs?
Anhaaa kumbe OBRS haipo tena..bas nina kibarua cha kuanza upya..ID ya uraia ndio ilinikwamisha kdgo..thanks...nikiwa na shida nita ku pm mkuuOBRS haipo tena. Kama hujamaliza application ndani ya siku sita kila kitu kinafutwa itakubidi uanze upya, ndio maana nikashauri kwa kusisitiza uwe na taarifa zote kabla hujaanza kuomba kwa sababu ukikosa hata taarifa ndogo inaweza kukufanya urudie rudie mpaka uchoke
Karibu sanaAsante kwa mada muhim mkuu
Taratibu zinatofautiana kidogoJe nikitaka kusajili jina la biashara? mm nna biashara ambazo sijazisajili nimeshindwa kuuza supermarket wameniambia hadi nizisajili, hebu nisaidie steps au ndio hizo hizo hapo juu ktk post?
Ahsante kwa hili bandiko, Nimehifadhi mawasiliano yako.Kwa wale wanaohitaji kusajiliwa kampuni au jina la biashara chapu chapu tafadhali wasiliana nami kupitia kwenye ukurasa huu wa mawasiliano
Mkuu hata kutoa elimu inahitaji authorization ya BRELA au hukupima ulichouliza! Hata hivyo BRELA hawana authorized agents kama ilivyo makampuni ya simu. Wao wanachotaka kampuni au biashara imesajiliwa kwa kufuata sheria na taratibu zao period.Wewe uko authorized Na Brela au ni kanjanja tu mjanja mjanja wa mjini?
Nimewauliza hilo wakajibu Kitambulisho cha Taifa ni lazima na kama bado kabisa itabidi usubiri tu. Ndio hali halisiSio nchi nzima waliopata vitambulisho vya taifa, kwa hao watu inakuwaje? vitambulisha vya taifa haviandikishwi kila siku je nikitaka kufungua kampuni 2019 ambako pengine zoez la kuandikisha vitambulisho vya taifa litakuwa limekoma hapo inakuwaje mkuu.
Tayari umesha Toa elimu sasa hapa chini ulikuwa unamaanisha nini????Mkuu hata kutoa elimu inahitaji authorization ya BRELA au hukupima ulichouliza! Hata hivyo BRELA hawana authorized agents kama ilivyo makampuni ya simu. Wao wanachotaka kampuni au biashara imesajiliwa kwa kufuata sheria na taratibu zao period.
Kwa wale wanaohitaji kusajiliwa kampuni au jina la biashara chapu chapu tafadhali wasiliana nami kupitia kwenye ukurasa huu wa mawasiliano
Tayari umesha Toa elimu sasa hapa chini ulikuwa unamaanisha nini????Mkuu hata kutoa elimu inahitaji authorization ya BRELA au hukupima ulichouliza! Hata hivyo BRELA hawana authorized agents kama ilivyo makampuni ya simu. Wao wanachotaka kampuni au biashara imesajiliwa kwa kufuata sheria na taratibu zao period.
Kwa wale wanaohitaji kusajiliwa kampuni au jina la biashara chapu chapu tafadhali wasiliana nami kupitia kwenye ukurasa huu wa mawasiliano
Hata mwalimu akitoa elimu hutoa na mawasiliano kwa msaada zaidi,Tayari umesha Toa elimu sasa hapa chini ulikuwa unamaanisha nini????
Ukabadilisha na rangi kabisa.
Ni NIDA tu ndugu, ndio imeunganishwa kwenye mifumo mingi ya serikaliNi ID ya NIDA tu sasa hivi? Ina maana zile za kura hazifanyi kazi tena kwani nchi nzima wameshaandikisha nida? Au ipo namna nyingine pia?