Jinsi ya kusafisha uke

Hivi unamaanisha jivu kweli au yale majivu ya kizungu...poda za kizungu zile ukipaka yananyonyoka yenyewe??

jivu lililotoka jikoni....lione vilevile, lina lazi nyingi sana
 

aiseeeee kumbe nilikuwa sijui
 
Network bussy..................Try again after sometime.................
 
kuna sabuni maalum wanauza kwa kusafishia uke. hujawahi kuziona dada! kama hazipo ni tz ila nilishawahi kuziona nchi fulani.

Mkuu wanawadanganya tu ili wafanye biashara

Haitakiwi kutumia chochote huko ikulu zaidi ya maji safi tu.
Osja kwa maji safi only that.
Hata kinachotakiwa kuingia huko ni uume tu...ukianza kuingiza hayo mavidole sijui nn trust mi utaumwa fungus na kuwasha kila wakati
 
mkuu kuna sabuni kwa ajili ya kujiswafi huko. zimetengenezwa kwa kazi hiyo sio hizi za kuogea mkuu

Hakuna kitu km hicho hyo ni bness tu.

Huku ikulu hakutakiwi kuingizwa wala kupaka hyo misabuni ni hatari sana
Unatakiwa kutumia maji safi tu na unakuwa salama tu ht harufu hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…