Jinsi ya kupika maharage kwa njia rahisi bila kutumia gharama kubwa

changanya pia na brocoli, pilipili hoho, carrot na maharage machanga,hapo utazidi kuyapenda maharage, hizo mboga nilizozitaja una zi steam halafu wakati wa kuunga maharage ndio unachanganya pamoja

Yote haya yatafanywa mkuu,
Shukrani sanaaa.
 
Unauliza Maharagwe haya haya au unataka uwe unayapika mengiiii unayaweka Frijini kwa jili ya Hali ngumu ya Maisha ya sasa.Maana Siku zoote ulikuwa wapi kuyauliziaaaa??Kweli Tunaisoma kimya kimya.
 
Haahaaaaaaaaa!
Leo nimecheka kinoma.
Wewe siyo mzima haaahaaaaa!
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Malcolm kama umeweza kuyapika njia rahisi ni kuchemsha ya kutosha kutumia mara mbili au tatu then unagawa na ku freeze. Siku ukiwa na hamu una thaw kiasi tu na kuweka tu viungo ili kupunguza kazi ya kuchemsha mara zote.
 
Ngoja nifanye hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Wadau samahani,
Yani kila siku napojaribu kupika maharage ile natoka na kurudi ndani nakuta nyumba imejaa moshi vitu vimeungua sana. Yani hivi mnafanyaje fanyaje wakuu!
Nimechoka kula mama ntilie aisee.

Kamanda upoo?? Siku nyingi sikuoni! Naona hata huku upo:D akina Nifah wapo watakusaidia haya mambo
 
changanya pia na brocoli, pilipili hoho, carrot na maharage machanga,hapo utazidi kuyapenda maharage, hizo mboga nilizozitaja una zi steam halafu wakati wa kuunga maharage ndio unachanganya pamoja

Khaaaa..... koo lako zurii, Hongera, broccoli Na Maharage mateke Nakula Kama salad
 
Back
Top Bottom