Jinsi ya kupata Proof of Residence

Jinsi ya kupata Proof of Residence

kadunga

Member
Joined
May 4, 2020
Posts
68
Reaction score
51
Habari wana Jf

Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Siku za hivi karibuni freelancer . com wamedili sera zao ku withrawal fedha kwa njia ya Bank mpaka ufanye Address verification MNimejaribu kutumia option ya bank statement Ya CRDB unfortunately wameikataa Kutokana na uhalisisa kua Format yao haioneshi full address + Name

Nimeona kuna Option Kadhaa
  1. Utility Bill (Nahisi hii inaweza kua tanesco / DAWASCO)
SWALI LANGU NI: JE HIZI TAAASISI KUNA UWEZEKANO WA KUKUPATIA HIZO UTILITY BILLS?

kuhusu nyumba (kwa sasa ninapoishi ni kwangu hivyo nikipata hizo utility bills zita match majina yangu)

asanteni
 
Mamlaka ya maji wanakupa bill ya karatasi ambayo ina address yako(physical address)
Au nenda kwa mwanasheria atakusaidia.

Ndani kabisa ya moyo wangu naamini lengo la Uzi wako ni kwadaka wajinga waingie kwenye mitego wa hela ya BURE kwa sauti ya Jiwe!
 
Shukurani kwanza

Shukrani kaka ngoja nifike officie zao nitaleta mrejesho

Kuhusus paragraph ya pili ni maoni yako na kiwango chako cha kufikiri , natumai ipo ck utatoka kwenye huo utoto
 
Back
Top Bottom