Jinsi ya kupata imei unapopoteza simu

Mkuu nimepoteza samsung yangu toka 14 July. Nilikuwa kwenye boda ikachomoka kutoka kwenye mfuko ikadondoka. Alieikota kaishatoa line. Nilikuwa sijui IMEI yake sasa kwa elimu yako nimeipata IMEI. Naomba way forward nifanyeje sasa niweze kupata simu yangu? Polisi vipi? Na TCRA wanapatikana vp? Maana niko Kigoma.
5756fba5cb90957c51a44bb41b60782e.jpg
1. Piga loss report kituo chochote cha polisi.
2. Nenda TCRA na hiyo imei. Watukujulisha kama iko hewani na namba ipi inatumika kwa sasa.
3. Jiandae kumkamata mwizi wako. Kumbuka kumiliki mali ya wizi Ni wizi
 
Heshima kwenu.
Mi naomba msaada ku- unlock Vodafone tablet vfd 1100 isome mitandao yote kwa sasa inasoma Vodacom tu.
Naomben sana sina hela nying nitalipia 5000 tu. Kama yupo PM au 0712925664 tufanye kaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu na kama sina gmail inakuwaje au acount yoyote
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu namna ya kupata imei ya simu iliyokwisha potea tayari. Njia hii ni kwa wale tu wenye google accounts (gmail, YouTube, n.k) na wamewahi kuingia kwenye accounts hizo kwa kutumia simu iliyoibwa. Hii ni kwa Android tu.

Fanya hivi :

1. Copy halafu paste hii link kwenye browser yako:

Sign in - Google Accounts

2. Log in kwa kutumia google account yako uliyokuwa ukitumia na simu iliyoibiwa.

3. Bonyeza penye icon ya Android
06b7f264e07726d12c64b4b24ba98f76.jpg

4. Hapo utaona simu Zote zilizofungua google account hiyo na imei zake
33a083173eac27d0c1ae2d984f4906bc.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi heri ya Mwaka Mpya. Nimejaribu njia uliyo elekea kupata taarifa za simu iliyopotea/kuibiwa nimekuta aina ya simu na tarehe niliyo register lakini haioneshi IMEI namba. Nafanyaje kiongozi kupata IMEI namba? Msaada wako please
Gmail ndio inafanya kazi mkuu, ingawa nilisikia wamebadilisha utaratibu.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi heri ya Mwaka Mpya. Nimejaribu njia uliyo elekea kupata taarifa za simu iliyopotea/kuibiwa nimekuta aina ya simu na tarehe niliyo register lakini haioneshi IMEI namba. Nafanyaje kiongozi kupata IMEI namba? Msaada wako please

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani walishauondoa huu utaratibu, kwa sasa sijafahamu njia nyingine mkuu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
1. Piga loss report kituo chochote cha polisi.
2. Nenda TCRA na hiyo imei. Watukujulisha kama iko hewani na namba ipi inatumika kwa sasa.
3. Jiandae kumkamata mwizi wako. Kumbuka kumiliki mali ya wizi Ni wizi
hapo namba2 ya TCRA kuna gharama zozote?!
 
Back
Top Bottom