Jinsi ya kupata imei unapopoteza simu

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,770
10,650
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu namna ya kupata imei ya simu iliyokwisha potea tayari. Njia hii ni kwa wale tu wenye google accounts (gmail, YouTube, n.k) na wamewahi kuingia kwenye accounts hizo kwa kutumia simu iliyoibwa. Hii ni kwa Android tu.

Fanya hivi :

1. Copy halafu paste hii link kwenye browser yako:

Sign in - Google Accounts

2. Log in kwa kutumia google account yako uliyokuwa ukitumia na simu iliyoibiwa.

3. Bonyeza penye icon ya Android
06b7f264e07726d12c64b4b24ba98f76.jpg


4. Hapo utaona simu Zote zilizofungua google account hiyo na imei zake
33a083173eac27d0c1ae2d984f4906bc.jpg
 
Back
Top Bottom