Jinsi ya kupata imei unapopoteza simu

njia rahisi ni kufugua na simu au computer nyengine kisha login humo.

au tumia browser ya simu kutengeneza hio account.

kama una email ya outlook, live au hotmail pia inaweza tumika kama microsoft account.
Ok asante sana mkuu nimefanya hivyo now iko poa shukrani sana ubalikiwe tena na tena hadi ushangae

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Namna mbili :
1. Hapo hapo pana sehemu imeandikwa manage active devices. Ukibonyeza hapo utapata kuelewa ilipo simu yako na hata kuipigia au kufuta data, mradi tu iwe hewani.

2. Nenda TCRA
Screenshot_2017-08-20-16-16-30.png

Simu yangu imeibiwa majuzi mpaka leo haiko hewani TCRA wanasaidia kuifunga au kuitrace iko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo kwenye location on ndio utata kwa members wengi wa jf
Hapo hapo ukifungua hiyo link kwa chini utaona Location History uki-click inakuonyesha ila inafanya kazi kama Handset yako uli-set location on...yaani inakuonyesha sehemu zote ulizotembelea na ukitaka kwa siku pia inakuonyesha (kama simu haikuwa kwenye Location on mode itakuambia no location history
 
hatupendi kuweka location on mambo ya kukamatana kila leo noma tunapiga fake location ukim trace mtu anakupoteza utaambiwa yupo texers badala ya mtoni kijichi
 
Mbona njia ndefu kwa carrier Vodacom Tigo Airtell etc ukipiga simu au kutext kinachorecordiwa kwanza IMEI pili namba yako ya simu, ukifuata taratibu utapata IMEI yako kutoka kwao ndio maana simu ya wizi ikibadilishwa sim card inapatikana kirahisi kwani IMEI inakuwa blacklisted kwa carriers wote baada ya kufuata utaratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hatupendi kuweka location on mambo ya kukamatana kila leo noma tunapiga fake location ukim trace mtu anakupoteza utaambiwa yupo texers badala ya mtoni kijichi
Kuna location on ya google haihusiani na location on kama unavyoweka facebook au social network.....hiyo google wenyewe ndo wanaweza wakaku-trace au mtu aibe password ya email yako ama simu ni ya wizi...mamlaka zinazohusika hata kama usipoweka location on wakiamua wanakutafuta na wanakupata
 
Kutrace mkuu. Watakueleza mpaka simcard iliyomo humo kwa sasa

Mkuu nimepoteza samsung yangu toka 14 July. Nilikuwa kwenye boda ikachomoka kutoka kwenye mfuko ikadondoka. Alieikota kaishatoa line. Nilikuwa sijui IMEI yake sasa kwa elimu yako nimeipata IMEI. Naomba way forward nifanyeje sasa niweze kupata simu yangu? Polisi vipi? Na TCRA wanapatikana vp? Maana niko Kigoma.
5756fba5cb90957c51a44bb41b60782e.jpg
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom