Kashaulo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2019
- 2,940
- 4,960
Ushaelewa?
Watu wa Ulaya walipanga nchi zenye watu wenye furaha, wakakuta Thailand ni nchi ambayo ina watu wenye furaha sana, licha ya kutokuwa na maendeleo kama nchi nyingi za Ulaya.
Wakajiuliza kwa nini?
Wakakuta moja ya sababu ni kwamba watu wa Thailand hawako obsessed kwenye kutafuta furaha kama wanavyofanya watu wa Ulaya.
Ni sahihi, furaha is more of a natural gift... ukiitafuta furaha huwezi kuipata.
Hata huku kwetu vijijini watu wana furaha kuliko mjini, sababu ni hawako obsessed na mambo makubwa ya kuiga.