Jinsi ya kupandisha Status yako

Jinsi ya kupandisha Status yako

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Kwenye maisha ili uheshimike lazima ujenge misingi ya kuheshimika
Fanya hivi kupandisha statusa yako.

1)Vaa ki maridadi usivae kibishoo wala ki local local.

2)Usipende ku chat chat hovyo kwenye group.

3)Usipende kujibu jibu hovyo meseji za watu hata kama wanakufata inbox.

4)Kula vizuri.

5)Fanya mazoezi ya hapa na pale kuweka mwili sawa.

6)Tengeneza mazingira ya kutomtegemea mtu hata upate na shida kiasi gani.

7)Fanya maisha yako kuwa ya siri sana.

8)Usipende kuweka posts nyingi whatsup status.

9)Usipost vitu negative whatsap status .

10)Usipende Ku view view mara kwa mara status za watu.
 
NAONGEZEA

1.USITONGOZE HOVYO

2.USISHOBOKE HOVYO KILA MTU UNAATAK KUONGEA NAE

3.USIKOPE HOVYO

4.MAKE SURE YOUR FIRST IMPRESSION ARE ALWAYS THE BEST

5.SPEAK WHEN ITS ONLY NECESSARY

6.MARAFIKI ZAKO WA KIKE USIPENDE KUWAITA BABY SIJUI LOVE SIJUI DEAR

6.KUWA NA MOYO WA UKARIMU

7.UKIKOPA LIPA KWA WAKATI..

8.JIFUNZE KUJIONGEZEA THAMANI KILA KUKICHA

9.USIPOST PICHA ZISIZO NA MAADILI KWENYE MITANDAO

10.KUWA NA HOFU YA MUNGU
 
Namba 7 imenichoma moyo
 
Mamba zenye shobo znanboa sana, spend shobo yaan unakuta mf. Mwanaume ana shobo balaa aseee spend kchz

Back
Top Bottom