Hapo sasa..Ukishapanda Status faida zake ni zipi?
Alikuwa anapandisha StataMdau ulipotea
NipoMdau ulipotea
Hii ndio tabia yangu haaaswaaaa6)Tengeneza mazingira ya kutomtegemea mtu hata upate na shida kiasi gani.
upo wapi? Siku hiziNipo
NO.1 inatakiwa kuwa ,Ishi maisha ya kumpendeza Mungu then endelea na hayo mengine...Kwenye maisha ili uheshimike lazima ujenge misingi ya kuheshimika
Fanya hivi kupandisha statusa yako.
1)Vaa ki maridadi usivae kibishoo wala ki local local.
2)Usipende ku chat chat hovyo kwenye group.
3)Usipende kujibu jibu hovyo meseji za watu hata kama wanakufata inbox.
4)Kula vizuri.
5)Fanya mazoezi ya hapa na pale kuweka mwili sawa.
6)Tengeneza mazingira ya kutomtegemea mtu hata upate na shida kiasi gani.
7)Fanya maisha yako kuwa ya siri sana.
8)Usipende kuweka posts nyingi whatsup status.
9)Usipost vitu negative whatsap status .
10)Usipende Ku view view mara kwa mara status za watu.
Shobo ni nini? Mpaka mtu awe na shobo anakuwa anatenda mambo gani?Mamba zenye shobo znanboa sana, spend shobo yaan unakuta mf. Mwanaume ana shobo balaa aseee spend kchz
No 6 nakataaKwenye maisha ili uheshimike lazima ujenge misingi ya kuheshimika
Fanya hivi kupandisha statusa yako.
1)Vaa ki maridadi usivae kibishoo wala ki local local.
2)Usipende ku chat chat hovyo kwenye group.
3)Usipende kujibu jibu hovyo meseji za watu hata kama wanakufata inbox.
4)Kula vizuri.
5)Fanya mazoezi ya hapa na pale kuweka mwili sawa.
6)Tengeneza mazingira ya kutomtegemea mtu hata upate na shida kiasi gani.
7)Fanya maisha yako kuwa ya siri sana.
8)Usipende kuweka posts nyingi whatsup status.
9)Usipost vitu negative whatsap status .
10)Usipende Ku view view mara kwa mara status za watu.
The desire for more positive experience is itself a negative experience.Ukishatangaza kutaka kupandisha status, umeshashusha status.
Ushaelewa?The desire for more positive experience is itself a negative experience.
Mark Manson
Mke wako hajajifungua je hukumuhongahonga kama unazo ila usihonge kwa ajili ya kupata kitu , we toa tu usigeuke nyuma.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] dadekiUna uhakika huo ujauzito wa Mkeo ni wako?
Alikuwa anajiongezea heshima jamii forumMdau ulipotea
10. Kwanini uwe na hofu ya Mungu?! Mungu mpende kama yupo, na unapaswa uwe na hofu ya SHETANI sio MUNGU.NAONGEZEA
1.USITONGOZE HOVYO
2.USISHOBOKE HOVYO KILA MTU UNAATAK KUONGEA NAE
3.USIKOPE HOVYO
4.MAKE SURE YOUR FIRST IMPRESSION ARE ALWAYS THE BEST
5.SPEAK WHEN ITS ONLY NECESSARY
6.MARAFIKI ZAKO WA KIKE USIPENDE KUWAITA BABY SIJUI LOVE SIJUI DEAR
6.KUWA NA MOYO WA UKARIMU
7.UKIKOPA LIPA KWA WAKATI..
8.JIFUNZE KUJIONGEZEA THAMANI KILA KUKICHA
9.USIPOST PICHA ZISIZO NA MAADILI KWENYE MITANDAO
10.KUWA NA HOFU YA MUNGU
Huelewi maana ya hofu ya Mungu wewe[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]10. Kwanini uwe na hofu ya Mungu?! Mungu mpende kama yupo, na unapaswa uwe na hofu ya SHETANI sio MUNGU.
Kufuatilia mtu anaweka nini kwenye status na kumjudge kutokana na hizo status ni ushamba pia. Ishi maisha yako mkuu vile unaona sawa. And hatufanani duniani, kila mtu na mtazamo wakeMi huwa naangalia status lakn huwez kujua Kama nimeangalia had niamue uone, muda mwng niko onlin lakn sichat na mtu wala siwek status ila ni muangaliaji mzuri wa status za wengne,,, Naomba ni kiri kwamba uwekaj wa status za hovyo zinashusha sana thaman ya mtu,, mfano mzur Kuna dada nilitokea kumpenda ila kumwambia ikawa bado sasa nikawa naangalia tu status zake anazoweka asee nimeamua nimpotezee hata kuchat nae skuiz nimeacha
Heshima..