Sure.Ushaelewa?
Watu wa Ulaya walipanga nchi zenye watu wenye furaha, wakakuta Thailand ni nchi ambayo ina watu wenye furaha sana, licha ya kutokuwa na maendeleo kama nchi nyingi za Ulaya.
Wakajiuliza kwa nini?
Wakakuta moja ya sababu ni kwamba watu wa Thailand hawako obsessed kwenye kutafuta furaha kama wanavyofanya watu wa Ulaya.
AsanteNAONGEZEA
1.USITONGOZE HOVYO
2.USISHOBOKE HOVYO KILA MTU UNAATAK KUONGEA NAE
3.USIKOPE HOVYO
4.MAKE SURE YOUR FIRST IMPRESSION ARE ALWAYS THE BEST
5.SPEAK WHEN ITS ONLY NECESSARY
6.MARAFIKI ZAKO WA KIKE USIPENDE KUWAITA BABY SIJUI LOVE SIJUI DEAR
6.KUWA NA MOYO WA UKARIMU
7.UKIKOPA LIPA KWA WAKATI..
8.JIFUNZE KUJIONGEZEA THAMANI KILA KUKICHA
9.USIPOST PICHA ZISIZO NA MAADILI KWENYE MITANDAO
10.KUWA NA HOFU YA MUNGU
ThanksKwenye maisha ili uheshimike lazima ujenge misingi ya kuheshimika
Fanya hivi kupandisha statusa yako.
1)Vaa ki maridadi usivae kibishoo wala ki local local.
2)Usipende ku chat chat hovyo kwenye group.
3)Usipende kujibu jibu hovyo meseji za watu hata kama wanakufata inbox.
4)Kula vizuri.
5)Fanya mazoezi ya hapa na pale kuweka mwili sawa.
6)Tengeneza mazingira ya kutomtegemea mtu hata upate na shida kiasi gani.
7)Fanya maisha yako kuwa ya siri sana.
8)Usipende kuweka posts nyingi whatsup status.
9)Usipost vitu negative whatsap status .
10)Usipende Ku view view mara kwa mara status za watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una uhakika huo ujauzito wa Mkeo ni wako?
Wewe nawe una matatizoMamba zenye shobo znanboa sana, spend shobo yaan unakuta mf. Mwanaume ana shobo balaa aseee spend kchz
Huenda hata angekukataa,, bora umekaa kimyaMi huwa naangalia status lakn huwez kujua Kama nimeangalia had niamue uone, muda mwng niko onlin lakn sichat na mtu wala siwek status ila ni muangaliaji mzuri wa status za wengne,,, Naomba ni kiri kwamba uwekaj wa status za hovyo zinashusha sana thaman ya mtu,, mfano mzur Kuna dada nilitokea kumpenda ila kumwambia ikawa bado sasa nikawa naangalia tu status zake anazoweka asee nimeamua nimpotezee hata kuchat nae skuiz nimeacha