Natumia Mozilla firefox
Mkuu hii itakusaidia kudownload AUDIO peke yake. Lakini kama unahitaji Audio na Video, google "YOUTUBE DOWNLOADER" uchague latest version.Download kitu inaitwa Any Audio Converter, hii itafute kwenye google
Jamaa anataka jinsi ya kudownload video iliyo kwenye youtube,na sio IDM
Wadau naomba mwenye kujua jinsi ya kudown load you tube video, tafadhari naomba mwenye maarifa hayo au mwenye link aweke.
1st-install flash player itakiwezesha kuplay video on line
2nd-install idm au orbit downloader
3rd-fungua browers yako i recommend utumie mozilla ingia youtube fungua video unayo itaka ikianza kuplay kuna kimeseji kinajitokeza "download this video with idm" unaiclick hiyo msg itaanza kudownload!!