Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Habar za muda huu Wana jf Kama Domo tajwa lajieleza naomba kusaidiwa application au tovuti ya kupakua( ku-download)video za YouTube.
 
Tumia "Snaptube" ili uweze kupakua video na audio kitoka youtube.

App inapatikana play Store.

Install app, then allow storage access..

Kuna njia mbili za kipakua video au audio..

1. Ingia youyube, search video uipendayo..bonyeza sehemu ya kushare video...hapo kwenye option ya kushare utaikuta na SnapTube, bonyeza SnapTubeube, hapo zitakuja option mbili Audio na video zote zikiwa na quality tofauti, mi huwa napendelea 1080 au 720 kwa upande wa video.
Chagua quality uipendayo kutokana bando lako.

2. Ingia SnapTube moja kwa moja na hapo utakutana na video nyingi ila uta search video uipendayo na uta ipakua.

IMG_20210803_181711.jpg


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom