Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

waweza pia tumia cucusoft youtoube downloader.Hii ni maalum kwa files za youtube tu.
Nilichokinoti ni kuwa wadau mnauliza every process.Hiyo ni ngumu mtu kukupatia.Jaribuni pia kuumiza vichwa once mkishadownload softwares
zilizotajwa na wadau hapo juu!!

Kazi Kwanza!!!!!
 
Hii njia huitaji kuinstal any software we nenda hii website KeepVid: Download and save any video from Youtube, Dailymotion, Metacafe, iFilm and more!

Alafu post url.. I mean website ya youtube ambapo video inaendelea alafu unaweka hiyo URL kwa keepvid.com. Alafu unabonyeza downloadi. Alafu chagua format utayotaka hiyo video uone. Kama hauna intanet ya kumwaga nitakushauri udownload file la low quality litakuwa kama MB 20 au kidogo au zaidi kidogo lakini siyo kukumalizia internet. Na wanampaka mp3 chaguo lako tuu.Alafu una save file. Na ukitaka kuangalia hizi video ukidownloadi nitakushauri uende kwa google na udownloa a video player CALLED VLC MEDIA PLAYER, hii inafanyisha kazi kila video ukidownload kwa mtandao kama haifanyi basi ni virusi hilo fili. Nimeweka picha hapo chini kufafanua zaidi kadiri ya uwezo wangu.

https://www.jamiiforums.com/template/JamiV1/default/attach/png.gif
 

Attachments

  • loliondo.png
    loliondo.png
    175.1 KB · Views: 58
  • loliondo1.png
    loliondo1.png
    55.2 KB · Views: 45
Wakuu! Nifanyeje nipate kudownload vidio za YuoTube ktk simu yangu? Natumia Nokia N95. Naombeni msaada wenu wakuu mimi na wengine wenye tatizo kama langu.
 
kiongozi nashukuru nime-instal real player ninayo kwenye pc yangu but bado siwezi kudownload
Kama umefanya hivyo na hauwezi kudownload, inawezekana ni browser unayotumia.
Chrome inakataa, lakini IExplorer works perfect.
fungua video zako on I explorer
 
Habari?

Ni kitambo sasa, Youtube Downloader yangu haifanyi kazi ya ku-download. Tatizo hili limewakumba wengi pia, mpaka imefikia hatua ya kudhani kwamba huenda Youtube downloaders zimekua de-activated.

Naomba kufahamu, ni tool gani inaweza saidia ku-download a video from Youtube?

Pia napenda kufahamu downloader yoyote inayoweza kudownload video yoyote online.
 
Downlload Real Player, then ukitaka any video kwenye youtube, fungua hiyo kutumia real player browser, then utapata option ya kudownload.
 
Tumia firefox browser then download na uinstall plugin iinaitwa "video download helper", ukiisearch hiyo plugin kwenye website ya firefox utaipata. then ukishainstall unaweza kudownload video za youtube na zingine nyingi kwenye website tofautitofauti ikiwa ni pamoja na miziki toka kwenye online radios.
 
tumia firefox browser then download na uinstall plugin iinaitwa "video download helper", ukiisearch hiyo plugin kwenye website ya firefox utaipata. then ukishainstall unaweza kudownload video za youtube na zingine nyingi kwenye website tofautitofauti ikiwa ni pamoja na miziki toka kwenye online radios.

Thanx mkuu
 
Njia rahis fungua keepvid.com, alaf copy url ya video unayotaka kuidaunloo af unaipaste kwenye hii web ya keepvid. Wanakupa option yakudaunloo
 
Tumia real player basic kama walivyokushauri wadau hapo juu kwani mimi ndo ninayotumia na hata dakika hii ninapokutumia ujumbe huu ina-download video music files kutoka Youtube.
 
download hii..Download Orbit Downloader 4.0.11 - FileHippo.com ... ni nzuri zaidi ya real player.............:A S 465:
Mkuu brakelyn nimefollow iyo link nikafika hapa. Ni button gani ya kuclick ili i-download? samahani mimi sio pro ila naelekezeka, asante.
[No Filter]

Orbit Downloader 4.0.11

Innoshock - 4.18MB (Freeware)
Orbit Downloader, is a download manager specifically designed for the new generation Web (Web 2.0). You can use Orbit to download video/music/files from Myspace, YouTube, Imeem, Pandora, and Rapidshare, or on any site to make general downloading easier and faster.
Main Orbit Downloader Features:
  • Download social music, social video and streaming media
  • Extreme download acceleration.
  • Super Light: micro-sized and resource-friendly
  • Supports RapidShare download.
  • Supports IE, Firefox, Maxthon, and Opera.
  • Supports Metalink download.
  • Supports HTTP, HTTPS, FTP, MMS, RTSP and RTMP protocols.
  • Supports Proxy server configuration.
  • Supports download, pause and resume.
  • Provides general download management.
11Share

Latest updates

View more»

Copy the following code to link to this page:

Download
Latest Version

4.18MB
Latest Version
Orbit Downloader 4.0.11

Old Versions

Orbit Downloader 4.0.10
Orbit Downloader 4.0.9
Orbit Downloader 4.0.8
Orbit Downloader 4.0.7
http://www.filehippo.com/download_orbit_downloader/..ni/9089/
 
Back
Top Bottom