Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

download opera 11 alpha..ina extension za kutosha..utakapoifungua tu itakuja page ya extension mbalimbali za kuinstall..utaona pia ya kudownload videos za utube.
 
Wandugu habari zenu, jamani naombeni mnijulishe namna ya kudownload videos za youtube, kabla nilikuwa naweza kudownload kwa kutumia realplayer lakini imegoma tangia juzi, kama kuna namna nyingine ya kuzidownload naomba mwenye ujuzi anipe msaada
 
Download RealPlayer hapa halafu baada ya kuinstall ukienda kwene page yeyote ukasogeza pointer ya mouse kwene video unayotaka kudownload itakupa option ya kudownload, as easy as that.
 
...or tafuta program inaitwa internet download manager,itakusaidia sana katika ku download video na audio kutoka katika mtandao wowote ule
unaweza kuipata hapa,
Download Internet Download Manager: high speed download accelerator
Au pia kama huitaji kutumia program kuna njia nyingine unaweza kutumia,nenda katika hii website,then fuata maelekezo
KeepVid: Download and save any video from Youtube, Dailymotion, Metacafe, iFilm and more!
note;hii njia ya pili itahitaji computer yako iwe na program ya java.
 
kiongozi nashukuru nime-instal real player ninayo kwenye pc yangu but bado siwezi kudownload

Download RealPlayer hapa halafu baada ya kuinstall ukienda kwene page yeyote ukasogeza pointer ya mouse kwene video unayotaka kudownload itakupa option ya kudownload, as easy as that.
 
ndugu nashukuru ngoja nijaribu na option ulonipa nashukuru sana
...or tafuta program inaitwa internet download manager,itakusaidia sana katika ku download video na audio kutoka katika mtandao wowote ule
unaweza kuipata hapa,
Download Internet Download Manager: high speed download accelerator
Au pia kama huitaji kutumia program kuna njia nyingine unaweza kutumia,nenda katika hii website,then fuata maelekezo
KeepVid: Download and save any video from Youtube, Dailymotion, Metacafe, iFilm and more!
note;hii njia ya pili itahitaji computer yako iwe na program ya java.
 
Mbona mie naitumia ..acha masikhara. Jinsi ya kudownload umeelewa?

Mkuu Adulhalim, huwezi amini mimi pia nilitaka kuuliza same thing. Nashukuru kwamba software iko installed tayari na ile pop up message ya download this video inatokea lakini ukiclick down load inasema unable to download, kuna option ya kuresume ambayo nayo pia doesnt help. May be utupe ushauri zaidi what could be done to complete the process. Ahsante!
 
inawezekana na ni rahisi sana.
nenda google then andika free youtube downloader then utaona free software za kudownload youtube.
Mie ninayo na inaenda kwa jina la free youtube downloader na ipo vizuri sana.
Ukikwama ni PM
 
kiongozi njia hii imefanya kazi bt videos ninazodownload nazikuta wapi?

...or tafuta program inaitwa internet download manager,itakusaidia sana katika ku download video na audio kutoka katika mtandao wowote ule
unaweza kuipata hapa,
Download Internet Download Manager: high speed download accelerator
Au pia kama huitaji kutumia program kuna njia nyingine unaweza kutumia,nenda katika hii website,then fuata maelekezo
KeepVid: Download and save any video from Youtube, Dailymotion, Metacafe, iFilm and more!
note;hii njia ya pili itahitaji computer yako iwe na program ya java.
 
download freecoder then install kwenye pc na anza kudownload video hata mp3 etc
 
Update RealPlayer yako utadownload caz natumia version mpya ya realplayer na hata leo nmedownload hapa
 
Mkuu Adulhalim, huwezi amini mimi pia nilitaka kuuliza same thing. Nashukuru kwamba software iko installed tayari na ile pop up message ya download this video inatokea lakini ukiclick down load inasema unable to download, kuna option ya kuresume ambayo nayo pia doesnt help. May be utupe ushauri zaidi what could be done to complete the process. Ahsante!
Kwa ka-experience kangu kadogo, sijapata tatizo kwene RealPlayer..sometimes huwa option inakuja lakini media inakuwa kweli huezi kuishusha, hii hutokea hasa kwene websites zingine, lakini Youtube sijawahi kuona tatizo..labda unipe link ya mzigo unaotaka kuushusha nijaribu hapa kama inaezekana.
 
nenda google download software inaitwa Sothink Web Video Downloader ni nzuri naitumia inakupa option ya kusave video popote
 
Check to see if "media player" is your DEFAULT player. If not.. make it DEFAULT. If you do that and it still doesn't work..

1. right click the song.. go to properties..

2. Look for LOCATION.. highlight the whole location

3. COPY

4. Open up windows media player.. go to file/open url

5. Paste the location into the box.

6. Say ok. The song should load and you can hear it.

7. If you want to save the song... save it by going to file again.. ( in media player)
click on ... "save media as" and save to your desktop or wherever you want it saved to.

If THAT doesn't work..
 
Back
Top Bottom