TihZ
Senior Member
- Jul 31, 2012
- 158
- 26
Thanks guys. Tubemate imefanya kazi.
Okay haina noma/shida
Thanks guys. Tubemate imefanya kazi.
Hii hapa inakidhi mahitajiMambo vip. zamani nilikuwa natumia internet download manager5 kushusha videos toka kwenye Youtube. sasa nashindwa kwani Trial period imekwisha na inkidownload nyingne na kuinstall tena inagoma. naomba msaada jamani.. kama kuna software nyingine ya kushusha vitu kwenye youtube.
Mi natumia IDM ila nashindwa hainipi option ya 1080p. nifanyeje na hiyo ndo nahitaji.
Njia rahisi mkuuMambo vip. zamani nilikuwa natumia internet download manager5 kushusha videos toka kwenye Youtube. sasa nashindwa kwani Trial period imekwisha na inkidownload nyingne na kuinstall tena inagoma. naomba msaada jamani.. kama kuna software nyingine ya kushusha vitu kwenye youtube.
Heshima kwenu wanajamii.
Mara nyingi huwa natumia IDM kudownload YouTube video ila huwa inanipa option ya 360p na Mara cha he 480p. Nimejaribu kutumia Eagleget na IlliVid ila imeshindikana. Mwenye ujuzi jinsi ya kupata YouTube video katika formats tajwa hapo juu atuwekee hapa.
Natanguliza shukrani.