Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

AM stuck. NIkiwa kwenye page ya you tube, where shall I download from.
 
Sasa hivi nimedownload You Tube Videos halafu nimecopy URL Naona ina download. Nitafurahijeeeeeee Secret Service
 
Last edited by a moderator:
Na kama unatumia Firefox basi ni rahisi sana,weka addon ya download helper,ukifungua youtube tu utaiona inakusubiri kwa chini kidogo.just click it then chagua ile format unataka bhaaaas!
 
Hello wana JF!

Napenda kweli comedy. Na Stand Up comedy pia kama za Steve Harvey na Katt Williams. NIngependa ku download hizi comedy niwe nazo kwenye computer nijichekee na hasa kama hivi weekend inakuja. Mwenye kujua namna please anisaidie na know-how nianza hiyo kazi sasa hivi.

Thanks and kind regards,

Karucee.

cc Wi-Fi Hoshea sun wu, The Boss, Nyani Ngabu, sheriFF ARPAIO:help:

How do I download or save a YouTube video to my computer?

I hope that tutorial helps. Let me know if you still have any question
Cheers!
 
Kama unatumia Mozilla Firefox kuna vitu zinaitwa 'add-ons' au extensions, zinapatikana kwenye Tools--->Extensions--->Get add-Ons. Kwenye sehemu ya kutafuta andika 'Downloadhelper', yakija matokeo chagua hiyo halafu uiinstall. Ukishamaliza kila video ambayo utatazama YouTube itakuletea chaguo la kuipakua.
add.png
 
Hello wana JF!

Napenda kweli comedy. Na Stand Up comedy pia kama za Steve Harvey na Katt Williams. NIngependa ku download hizi comedy niwe nazo kwenye computer nijichekee na hasa kama hivi weekend inakuja. Mwenye kujua namna please anisaidie na know-how nianza hiyo kazi sasa hivi.

Thanks and kind regards,

Karucee.

cc Wi-Fi Hoshea sun wu, The Boss, Nyani Ngabu, sheriFF ARPAIO:help:

Ndugu hilo jambo lisikutie wasiwasi...unaweza download video yoyote kwa mtandao kutumia kitumizi kinachoitwa 'Internet Download Manager.' Hii software inadownload video na file yoyote kutoka kwa internet na speed yake ni ya ajabu... Ukibofya play katika video yeyote kawaida huonyesha option kama wataka kudownload hio video kwa format unayotaka wewe...Halafu haichagui browser yeyote,,ningekuomba uijaribu hii... IDM ndio mambo yote katika kudownload
 
Last edited by a moderator:
wadau cjaelewa hili tatizo ni kwanguuu tuuu au!? maana toka juzi nkitaka kudownload vdeo youtube inazingua badala ya kuweka download Video inaandika download audio kama nlivyoonyesha hapa! Capture.JPG
 
Co ww Hata mm hlo tatzo lmensumbua xana,
na2mia browse ya mozilla
na ikitokea ikaleta neno "Download this video"
nki click inaleta format za video zenye ukubwa kuanzia (1 kb - 9.9kb)
BUT
nilpo an9a ku2mia google crome tatzo lkaisha
 
Download any youtube video for free!

Is there a youtube video you
viewed and wished you could
download it and save it in your PC/
Mobile device for free? By so doing
you can watch it as many times as
you want offline! if thats the case,
then you are in the right place.
FOR PC.
To download youtube videos
free and fast , you need Free you
tube download.
Here is a direct download
link: Download free
After completing the download,
install the software in your PC and
run it. Open the youtube website
on your browser, search for your
favourite video and click on it as if
you want to watch it. Just as it
begins playing, right click on the
video window and select 'copy
video URL', cancel the video
stream. Go back to the open
window of 'You tube download'
software you've just installed, right
click on the window and select
paste. wait for a moment for the
URL to be analysed, then click on
the 'play' icon for your download to
begin. Once the download is
complete, click on 'show in folder',
copy/cut the video file and paste it
in a destination folder of your
choice, play the video, now you can
enjoy!
FOR MOBILE DEVICES.
(ANDROID ONLY)
To download youtube videos on
your Android device you need
Tubemate app. If you are browsing
this via your mobile device simply
search for Tubemate in google
play. Once its installed, open it
and search for your favourite video,
just as it starts playing click on the
download icon and your download
shall begin. You can cancel the
video or watch it as it downloads.
BUT considering that there
are alot of infected Tubemate apps
in google play, it is advised to
download the Tubemate apk file
via PC and sync it to your Android
device. Once synced to your device,
locate and install it.
Here is a direct download link
for tubemate apk file: Download
free or Link 2
ENJOY!
NB: Use this software at
your own risk, we shall not be held
accountable for any issues arising
as a result of
the use of this
software.



Follow link: HOW TO DOWNLOAD ANY YOUTUBE VIDEO-FAST & FREE! - HOW SCIENCE
 
Back
Top Bottom