Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

njunwa wamavoko alternatively jaribu hii

1. andika 000proxy.tk, ingiza anwani ya youtube video unayotaka kudownload
2. ikifunguka itakuja na option za kuwatch na kudownload
3. click download kisha chagua quality ya video
4. anza kudownload



2ijqgy9.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii kitu ipo pale pale nimeinstall ad blocker kwenye fire fox na Chrome ila yule jamaa bado ana appear, do u have any other solution?

mkuu kuna manual block right click adblock nenda option then customize utaona kitu kimeandikwa ''BLOCK ADS BY ITS URL'' eka domain na adress inayofuatia kwa mbele ur done

mkuu sjajua kuhusu protection yako ya virusi nayo ipoje
 
Wakuu kuna njia nyingine ya kudownload video za youtube bila kutumia IDM(inaweza kutumika pia) au Youtube Downloader.
Hatua ni hizo katika picha hapo chini:

#1
1.jpg

#2
2.jpg

#3

3.jpg

#4
4.jpg

Njia hizo hapo juu zinawezesha kudownload hata zile video alizo upload vevo ambazo zinaleta error unapotaka kudownload kama inavyoonekana hapo chini.

#5
5.jpg

#6
6.jpg

Ili kudownload, Fuata hatua #1 - 4 na uchague kudownload kwa kutumia IDM

#7
last.jpg
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    60.2 KB · Views: 72
  • 2.jpg
    2.jpg
    38.9 KB · Views: 62
Habarini za saa hizi. Nimeistall YTD kwenye computer flan yenye window xp spack2,cha ajabu ni kwamba haiwezi kudowload inaandika fail. Lkn me ndio na tumia kwenye machine yangu yenye win 7 ultimate. Tatizo nn. Msaada tafadhali.
 
Habarini za saa hizi. Nimeistall YTD kwenye computer flan yenye window xp spack2,cha ajabu ni kwamba haiwezi kudowload inaandika fail. Lkn me ndio na tumia kwenye machine yangu yenye win 7 ultimate. Tatizo nn. Msaada tafadhali.

  • Nakushauli tumia EagleGet hii ni nzuli na ni bure uataipa hapa
    Code:
    [URL="http://www.eagleget.com/"]EagleGet - EG Download Accelerator, Free Video Downloader and more[/URL]
  • Au tumia Internet Download Manager (Hii utaitumia kwa siku 30 bure)
    Code:
    [url=http://internetdownloadmanager.com/download.html]Download Internet Download Manager: high speed download accelerator[/url]
Karibu
 
natumia ubuntu, lakini siwezi kudownload video kwenye youtube. Je kuna software kama idm ya windows inaweza kutumika?
 
We nenda ktk adress bar replace neno "www." with "ss"
then press enter
chek mfano hapa chini
kama uko online na una stream video pale ktk address bar utaona link ya hyo video kama hii,

http://www.youtube.com/watch?v=lWA2pjMjpBs&desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3DlWA2pjMjpBs

sasa hapo ktk "www." badil na uweke "ss"
na itakua kama ifuatavyo

http://ssyoutube.com/watch?v=lWA2pjMjpBs&desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3DlWA2pjMjpBs

then page itakayo funguka utaona quality mbalimbali za hyo video mfano 360 mp4, 360 flv au sasa we cha kufanya click quality uitakayo mm nmezoea mp4 360, au mp4 420.

#sayay_theComputeGUY
 
For those who have a problem cracking IDM download YouTube Downloader for free and enjoy uninterrupted faster download. Jus go to Cnet.Com
 
IDM inaweza kudownload almost everthing
Hii kitu yako inanini cha ziada? Au ina download youtube videos tu?
 
Hello wana JF!

Napenda kweli comedy. Na Stand Up comedy pia kama za Steve Harvey na Katt Williams. NIngependa ku download hizi comedy niwe nazo kwenye computer nijichekee na hasa kama hivi weekend inakuja. Mwenye kujua namna please anisaidie na know-how nianza hiyo kazi sasa hivi.

Thanks and kind regards,

Karucee.

cc Wi-Fi Hoshea sun wu, The Boss, Nyani Ngabu, sheriFF ARPAIO:help:
 
Last edited by a moderator:
Go to Cnet.com, download YTD(youtbe downloader) for free . Install it in your system and you will be good to go.
 
Back
Top Bottom