Hii dawa inafanya kazi ya kuondoa mabaka ikishamaliza kazi yake inakuacha ikikufanya un'gae katika ngozi yako ya asili..kama utaendelea kuitumia ukiwa ushamaliza tatizo hapo ndo itakuchubua nna wateja wanaotumia na haikuwachubua...Nipigie tuwasiliane..ndugu hizi dawa za kutumia na sabuni mh naziogopa lazima uwe.mweupeee nishawishi tafadhali nlivokua mjamzito uso wangu uliharibika sana
Zisiwe na mchanaganyiko wa calorite
Naendelea kupokea simu za wateja wakiuliza uwepo wa dawa..dawa bado zipo..kwa anaehitaji tuwasiliane 0655156586
Njoo Ofisi zetu za Oriflame posta tukupe ushauri na Tiba..utapona kabisa,,piga 0655868643!usipoteze muda na pia pole kwa tatizo
Unadhani kwa ambaye angependa kuja, aje na cash sh. ngapi? Ili kuondoka na dawa
pole sana jamani ila tuwasubiri wataalamu au yeyote anayejua hiyo dawa
Ngugu zangu naomba msaada wa kuondoa mabaka mabaka fulani(makovu)niliyapata nikiwa mtoto baada ya kuugua,nilikwenda hosp.mbalimbali kwa ajili ya uchunguzi wakaniambia hayo makovu yako kwenye ngozi na si kwenye damu..nimetumia dawa mbali mbali mpaka sasa hakuna lolote...
Msaada tafadhari.
we jamaa kila kitu Ni APOLO INDIA
hayo makovu yapo usoni au mwilini?Tafadhali naomba msaada kwa
yeyote anaejua dawa ya makovu sugu namaanisha ya muda mrefu naomba
anisaidie kunijuza wapi dawa hiyo inapatikana na ni sh.Ngapi.
Nimetumia Bio-oil haijanisaidia kabisa.
pole sana jamani ila tuwasubiri wataalamu au yeyote anayejua hiyo dawa