Tumia cream ya selevax scar removal,cocoa butter palmer formula na fair & white soap(box la rangi ya blue).mimi ndio natumia hizi...na mie nasumbuliwa na allergy inayoacha makovu bt thank God nw my skin is smooth and healthy...hazichubui....ngozi yako ibaki kuwa na same color inaondoa tu makovu.na kama utaweza gharama nenda kariakoo kwenye maduka ya nguo ya waarabu ulizia mafuta yanaitwa mkorogo wa dubai kopo kuanzia laki na ishirini bt its worth it....haichubui ila ngozi inakua lain kweli kweli na makovu yanaisha.Goodluck
Ahsante mpenz